Tetesi zinasema, Juventus itafanya mazungumzo mapya na wawakilishi wa Manchester United na kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 29, Jumatatu.

Tetesi zinasema, Newcastle wameongeza nia yao ya kumchukua mlinda mlango wa Manchester United na England Dean Henderson, 25.

 

Rangnick

Tetesi zinasema, Barcelona wanakaribia kusaini mkataba na kiungo wa kati wa Wolves na Ureno Ruben Neves, 25.

Newcastle wanamtaka mshambuliaji wa Reims Hugo Ekitike, 19, lakini Borussia Dortmund pia wanatafakari iwapo watamchukua Mfaransa huyo kuziba nafasi ya Erling Haaland.

Liverpool wanaongozakatika kinyang’anyiro cha kusajili kiungo wa kati wa timu ya vijana ya Birmingham Jobe Bellingham, 16, kaka yake mchezaji wa kimataifa wa England Jude Bellingham.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Meneja wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino yuko tayari kukutana na rais wa klabu Nasser Al-Khelaifi huku kukiwa na tetesi kuhusu mustakabali wake wa baadaye.

Rais wa heshima wa Bayern Munich, Uli Hoeness anaserma madai ya mshambuliaji Robert Lewandowski kwamba hatasaini mkataba mpya yote ni kuhusu pesa na anaimani mchezaji huyo atasalia katika klabu hiyo msimu huu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa