Tetesi zinasema, Arsenal, wataendelea kusaka mshambuliaji wa Brazil, Gabriel Jesus, 25 hata kama hawatafuzu kucheza Ligi ya mabingwa na wamepanga kuwekeza zaidi kuelekea msimu ujao.

Tetesi zinasema, Kiungo wa kati wa Manchester City na Uskochi Caroline Weir, 26, anakaribia kuhamia Real Madrid kwa uhamisho huru msimu huu.

Barcelona wameamua kumuacha mlinzi Mfaransa Samuel Umtiti, 28 aondoke mwishoni mwa msimu huu huku meneja wa Arsenal Mikel Arteta atamtaka mchezaji huyo.

 

Samuel Umtiti

Barcelona wako tayari kuweka bajeti ya euro 35 kujaribu kumsajili mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski, 33, kutoka klabu ya Bayern Munich na inaweza kumtoa mshambuliaji wa Uholanzi mwenye umri wa miaka 28 Memphis Depay kama sehemu ya mkataba.

Mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 34, atajiunga na Ligi ya Marekani kwenye klabu ya Inter Miami mwaka 2023 wakati mkataba wake wa miaka miwili na Paris St-Germain utakapokamilika.

Tetesi zinasema, Beki wa uholanzi Matthijs de Ligt, 22, anakaribia kusaini mkataba mpya utakaomuwezessha kucheza katika kikosi cha Juventus mpaka mwaka 2026.

 

Chelsea Wapewa Ofa kwa de Ligt.

Winga wa Argentina winger Angel di Maria, 34, amekubali mkataba wa mwaka mmoja na Juventus na atajiunga na klabu hiyo ya Serie A wakati mkataba wake katika Paris St-Germain utakapomalizika msimu huu.

Manchester United wamewasiliana na beki wa klabu ya Lille, Sven Botman huku wakijaribu kuipiku AC Milan kusajili kijana huyo Mholanzi huyo mwenye umri wa miaka 22.

Tetesi zinasema, West Ham wanataka kumsajili mshambuliaji wa Niigeria, Emmanuel Dennis, 24 kutoka Watford, ambao wameshushwa daraja msimu huu.

 


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa