Tetesi zinasema, Declan Rice atasalia West Ham licha ya Manchester United kuonesha azma ya kutaka kumsajili kiungo huyo wa wa kati wa Uingereza mwenye miaka 23.

Beki wa Chelsea Mhispania Marcos Alonso, 31, anataka kuhama Stamford Bridge baada ya kuwa huko kwa miaka sita, na Barcelona wamepiga hatua katika mazungumzo kuhusu makubaliano ya kibinafsi.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Aston Villa wamemuweka kiungo wa kati wa Leeds United Muingereza Kalvin Phillips, 26, katika orodha ya wachezaji wanaowalenga.

Tetesi zinasema, Real Madrid wanataka kumsajili mshambuliaji wa AC Milan Mreno Rafael Leao, 22, baada ya Kylian Mbappe kuamua kubakia Paris St-Germain.

West Ham wamewasilisha dau la kutaka kumnunua winga wa Manchester United Muingereza Jesse Lingard, 29, ambaye kandarasi yake inakamilika mwezi Juni.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Benfica wanataka kumsajili kipa wa Arsenal Mjerumani Bernd Leno, 30, ambaye ameshika nafasi ya pili nyuma ya Aaron Ramsdale kama chaguo la kwanza la Mikel Arteta.

Newcastle wanajizatiti kumsajili mshambuliaji matata Mfaransa Hugo Ekitike, 19, ambaye anachezea Reims japo wanakabiliwa na upinzani kutoka kwa Borussia Dortmund.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa