Tetesi zinasema, Manchester United wanafikiria kuwasilisha ombi la kumnunua kiungo wa kati wa Chelsea na Ufaransa N’Golo Kante, 31.

Tetesi zinasema, Liverpool wamefanya mawasiliano na winga wa Ufaransa Ousmane Dembele, 25, ambaye mkataba wake wa Barcelona unaisha msimu huu wa joto.

Mkufunzi wa Chelsea Thomas Tuchel atafanya mazungumzo na kiungo wa kati wa Uingereza Conor Gallagher, 22, kabla ya kuamua mustakabali wake. Msimu uliopita alicheza kwa mkopo Crystal Palace.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Meneja wa Burnley anaepigiwa upatu Vincent Kompany anataka kumfanya beki wa kati Muingereza Taylor Harwood-Bellis, 20, kuwa usajili wake wa kwanza Turf Moor kwa mkopo kutoka klabu ya zamani ya Manchester City.

Winga wa Croatia Ivan Perisic, 33, anatazamiwa kusaini mkataba wa kujiunga na Tottenham Hotspur kutoka Inter Milan kwa uhamisho wa bure na mpango huo unaweza kutangazwa wiki ijayo.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Paris St-Germain wanataka kumsajili mshambuliaji wa Brazil Richarlison, 25, kutoka Everton msimu huu wa joto.

Juventus wamempa mkataba wa mwaka mmoja winga wa Argentina Angel di Maria, 34, baada ya kuamua kuondoka PSG mwishoni mwa msimu huu.

Beki wa Kijapani wa Manchester City Ko Itakura, 25, anavutiwa na Bournemouth na Fulham baada ya muda mzuri wa mkopo katika klabu ya Schalke.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa