Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema Rais wa Napoli Aurelio de Laurentiis amesema wanataka kumsajili mlinzi wa Arsenal ,Mgiriki, 32, Sokratis Papastathopoulos, hatua ambayo inaweza kutoa mwaya kwa Kalidou Koulibaly, 29, kujiunga na Manchester City.

De Laurentiis anakubali kwamba anajuta kutomuuza Koulibaly mapema.

Baba yake Lionel Messi amejadiliana na Barcelona kwa siku ya pili mfululizo juu ya uwezekano wa kijana wake kuhama klabu hiyo, na mlinzi wa Liverpool Andy Robertson anasema ni matumaini yake kwamba mshambuliaji huyo, 33, wa Argentina hatasajiliwa na timu nyingine ya Ligi ya Epl.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema Mlinzi wa Manchester United Chris Smalling, 30, anaonekana kuwa tayari kujiunga na Roma kwa mkataba wa kudumu.

Tetesi zinasema Monaco imekataa ofa kutoka kwa Manchester United ya mlinzi wa Ufaransa, 19,

Manchester United inajaribu kumaliza suala la mshahara na kima cha uhamisho kwa winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho kabla ya kutoa ofa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa England.

Sevilla ina matumaini ya kuendelea kuwa na beki wa Real Madrid Sergio Reguilon kwa mkopo kwa msimu mwingine licha ya Mhispania huyo, 23, kuhusishwa na uhamisho wa kudumu hadi Manchester United.

Arsenal inakaribia kukamilisha makubaliano ya mkopo ya kumsajili kiungo wa kati wa Real Madrid na Uhispania Dani Ceballos kwa msimu wa pili kufuatana.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.
 

Tetesi zinasema Arsenal inafikiria kumtafuta kiungo wa kati wa West Ham, MBrazil Felipe,27, Anderson.

Liverpool haitakubali kiungo wa kati wa Welsh Harry Wilson, 23, kuondoka tena kwa mkopo licha ya Newcastle, Leeds na Southampton kuonesha nia ya kutaka kumsajili.

Chelsea imearifiwa kwamba lazima ilipe pauni milioni 30 kumsajili mlinda lango wa Senegal Edouard Mendy, 28, kutoka Rennes.

Inter Milan itahitajika kutafuta pesa kwa kumuuza kiungo wa kati wa Croatia Ivan Perisic ikiwa itataka kutoa ofa kwa mchezaji wa Chelsea, 29, na kiungo wa kati wa Ufaransa N’Golo Kante.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Crystal Palace, West Ham, West Brom, Norwich na Watford zinamnyatia mlinzi wa Ufaransa, 26, Jean-Claude Billong, anayecheza katika ligi ya Serie B Salernitana.

Roma inafikiria kumchukua mshambuliaji wa Hertha Berlin na Poland Krzyszt wa Piatek kuchukua nafasi ya Edin Dzeko.

Hull City inatafuta kumsajili beki wa kati wa kati wa Southampton Alfie Jones, 22, kwa mkataba wa kudumu.

Kiungo wa kati wa Bayern Munich Mhispania Javi Martinez, 32, amedhamiria kufikia makubaliano kurejea Athletic Bilbao msimu huu.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

34 Komentara

    Arsenal msimu huu wqnaonekana wako vizuri kununua viungo wachezaji wanzuri na wenye uwezo mzuri

    Jibu

    Kocha wa Arsenal hanaonekana amejipanga vizuri Sana msimu huu

    Jibu

    Manchester united kwenye usajiri bado kabic yani hawana kikosi kizuri na wasipo angalia msimu huu watalamba galasa

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Kocha amejipanga vizuri hongera kwake

    Jibu

    arsenal naona wanafanya juhudi za kukisuka kikosi chao vyema sana

    Jibu

    Arsenal wamejitahidi natamani kuwaona mpira watakao ucheza msimu huu maana kikosi kimekamilika usajili wo haukuwa wa kitoto

    Jibu

    Kocha Yuko vizuri na kikosi chake 👏👏@meridianbettz

    Jibu

    Hongera sana kocha inaonekana umejipanga vizuri#Meridianbettz

    Jibu

    Jipange kocha kuanda kikosi imara ili msimu ukianza Ni mogoli tu naushindi mnono

    Jibu

    hizi tetesi za Messi na barcelona naona zinazidi kupamba moto

    Jibu

    Arsenal msimu huu wanaonekana wapo vizuri kununua wachezaji wapo vizuri nawenyeuwezo wakijutuma kiumakini

    Jibu

    Arsenal wamejipanga vizuri msimu huu

    Jibu

    Habari za moto sana hizi kunako Anga za michezo duniani, Ngoja tusubiri.

    Jibu

    Ko

    Jibu

    Kocha Yuko vizuri

    Jibu

    Barcelona bado awajakubali mess kuondoka club yao

    Jibu

    jambo zuri kama atafanikiwa kumpata

    Jibu

    Ahsant meridian kwa taarifa

    Jibu

    Sidhani Kama Chelsea wanaweza wakamuachia ngolo kante.

    Jibu

    Kikosi kipo vzuri

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Ngoja tuone msimu ujao itakuaje.

    Jibu

    tetesi za Ngolo Kante kuhitajika na Inter Milan sio za kuvutia kwa Chelsea#meridianbettz

    Jibu

    Zko vzur tu

    Jibu

    Mambo yatakua mazuri sana kila timu inajipanga vya kutosha!!!!

    Jibu

    Asanteni kwa taarifa

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Arsenal wamejipanga vipasavyo

    Jibu

    Nice information

    Jibu

    Habar Nzur za usajir

    Jibu

    Arsenal msimu huu wako vizuri kununua viungo wachezaji wanzuri na wenye uwezo mzuri

    Jibu

    Ziko poa sana

    Jibu

Acha ujumbe