Tetesi zinasema, Arsenal wanakaribia kumnasa mshambuliaji wa Manchester City na Brazil Gabriel Jesus, 25.

Klabu ya Newcastle United wanamfuatilia mlinda mlango wa Burnley na England Nick Pope, 30.

Tetesi zinasema, Liverpool wanamfukuzia kiungo wa Borussia Dortmund na England Jude Bellingham anayewaniwa na Real Madrid.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

AC Milan ina nafasi nzuri mbele ya Newcastle katika kumsajili mlinzi wa Lille na timu ya taifa ya Uholanzi chini ya miaka 21 Sven Botman.

Tetesi zinasema, Manchester City wanajiandaa kupeleka ofa kumsajili mlinzi wa kushoto wa Brighton na Hispania Marc Cucurella, 23.

Tetesi zinasema, Leeds United na Southampton zinavutiwa na kiungo mbelgiji wa Manchester City, Belgian Romeo Lavia, 18.

Southampton inatarajiwa kumtangaza kipa wa Jamhuri ua Ireland Gavin Bazunu, 20, kutoka Manchester City kwa uhamisho unaofikia £15m.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Rais wa Real Madrid Florentino Perez anasema mshambuliaji mpya wa Manchester City Mnorway Erling Haaland, 21, asingeanza katika kikosi cha kwanza kama angehamia kwa wahispania hao.

Mlinzi muingereza James Tarkowski, 29, amekubali kujiunga na Everton mara mkataba wake wa sasa na Burnley utakapomalizima mwishoni mwa June.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa