Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Manchester City na England Raheem Sterling, 27, amekuwa akiwauliza watu kuhusu maisha katika magharibi mwa London huku klabu ya Chelsea ikiwa na nia naye.

Tottenham wana matumaini ya kuwapiku mahasimu wao wa kaskazini mwa London Arsenal katika mbio za kumsaka mshambuliaji wa Manchester City Mbrazili, Gabriel Jesus.

Tetesi zinasema, Chelsea wanaweza kumuhitaji mlinzi wa Manchester City mwenye umri wa miaka 27- Mholanz Nathan Ake aliyekwa sokoni msimu huu.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Mshambuliaji wa Chelsea na Ubelgiji Romelu Lukaku, 29, yuko tayari kurejea katika Inter Milan kwa gharama ya mkopo wa £8.5m pamoja na marupurupu aliyokubaliwabaina ya klabu hizo.

Tetesi zinasema, Manchester United wanaangalia uwezekano wa kufanya dai jipya kwa ajili ya kiungo wa kati wa Barcelona na Uholanzi mwenye umri wa miaka 25 Frenkie de Jong.

Kiungo wa kati wa Wolves na Ureno Ruben Neves, 25, yuko katika orordha ya Manchester United ya wachezaji inayoweza kusaini mkataba nao iwapo watashindwa kusaini mkataba na De Jong.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema, Newcastle wamepewa ofa ya kumsajili mlinzi Mivory Coast Eric Bailly, 28, kutoka Manchester United.

Meneja wa Uholanzi na meneja wa zamani wa Manchester United boss Louis van Gaal alihusika kwa sehemu katika kumzuia mlinzi wa Ajax Mholanzi Jurrien Timber, 21, kuhamia Old Trafford.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa