Tetesi zinasema, mshambuliaji wa Manchester City na Brazil Gabriel Jesus, 25, amekubali mkataba wa miaka mitano na Arsenal.

Tetesi zinasema, Liverpool wana uhakika wa kumsajili kiungo wa kati wa Borussia Dortmund na Uingereza Jude Bellingham.

 

Real Madrid Waanda €90m Kwaajili ya Bellingham.

West Ham wana nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Southampton na England James Ward-Prowse, 27, msimu huu wa joto.

Tetesi zinasema, Villarreal na West Ham wamefanya mazungumzo juu ya winga wa Uholanzi Arnaut Danjuma, 25.

Mkufunzi wa Manchester United Erik ten Hag anaweza kuwa na pauni milioni 100 tu kuijenga upya klabu hiyo msimu huu wa joto.

Tetesi zinasema, Tottenham wameulizia kuhusu beki wa RB Leipzig wa Croatia Josko Gvardiol, 20.

Monaco inamwinda mshambuliaji wa Torino na Italia Andrea Belotti, 28, huku AC Milan pia wakiwa mbioni kumsajili.

 

Ronaldo Hauzwi, Usidanganywe na Matapeli.

Mshambuliaji wa Manchester United na Ureno Cristiano Ronaldo, 37, amekataa nafasi ya kujiunga na Inter Miami ya David Beckham na atasalia Old Trafford.

Angel di Maria, ambaye mkataba wake na Paris St-Germain unamalizika mwishoni mwa Juni, anakaribia kuhamia Juventus, licha ya Barcelona kusalia kwenye picha ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina, 34.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa