Tetesi zinasema, Chelsea imekubaliana na Leeds kuhusu dau la kumnunua mshambuliaji wa Brazil na Leeds United Raphina mwenye umri wa miaka 25, kwasasa wako katika makubaliano binafsi na mchezaji.

Tetesi zinasema, PSG imekubaliana masharti binafsi na Skriniar pamoja na kiungo wa kati wa Lille na Ureno Renato Sanchez 24 na mshambualiji wa Sassuolo, Gianluca Scamacca, 23.

Meneja wa Manchester United, Erik ten Hag anataka kumsajili kiungo wa kati wa Uholanzi Frenkie de Jong ,25, ili kumshawishi kiungo mchezeshaji wa Denmark Christian Eriksen ,30, kujiunga na klabu hiyo ya Old Trafford.

 

Usajili

Tetesi iznasema, Tottenham wanaongoza katika harakati za kumsajili mshambuliaji wa Everton na Brazil Richarlison , 25 lakini ombi la £20m pamoja na winga wa Uholanzi Steven Bergwijn, 24, limekataliwa na the Toffees.

Crystal Palace inakaribia kumsajili kungo wa kati wa Lens, Cheick Doucoure katika makubaliano yenye thamani ya Yuro Milioni 21 pamoja na marupurupu kwa mchezaji huyo wa Mali mwenye umri wa miaka 21.

Fulham imeruhusiwa kuzungumza na kiungo wa kati wa Brazil Andreas Pereira,26 baada ya kukubaliana dau na Manchester United, mchezaji hyo anataka kusalia katika timu ya Flamengo ya Brazil ambapo yupo kwa mkopo.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Southampton imejiunga na klabu nyinginezo baada ya kuvutiwa na kiungo wa kati wa Burnley na England Josh Brownhill 26.

Manchester City imekubali kumuuza mchezaji wa England anayechezea timu ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 19 Sam Edozie , 19, kwa klabu ya Ujerumani Bayer Leverkusen kwa dau la £10m.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa