Tetesi zinasema, Barcelona wako tayari kutoa ofa yenye thamani ya hadi £60m kwa winga wa Leeds United Raphinha, 25, katika jitihada za kuwapiku Chelsea kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil.

Chelsea wanaendelea na mazungumzo ya kutaka kumsajili Matthijs de Ligt, 22, lakini Juventus wanataka kipengele cha kumuuza mchezaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi cha pauni milioni 102 kuanza kutumika.

Manchester City imesema itamuuza Nathan Ake, 27, iwapo watakuwa na mbadala wake, huku mchezaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi akihusishwa na kurejea katika klabu yake ya zamani ya Chelsea.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Tottenham wako kwenye mazungumzo ya kutaka kumsajili beki wa kulia wa Uingereza Djed Spence, 21, kutoka Middlesbrough kwa dau la £15m pamoja na marupurupu.

Tetesi zinasema, Juventus wanamtaka mshambuliaji wa Liverpool na Brazil Roberto Firmino, 30, katika mkataba wa kubadilishana na kiungo wao wa kati Mfaransa Adrien Rabiot, 27.

Wolves wameshinda vita vya kumbakisha kiungo wa kimataifa wa Ureno Ruben Neves, 25, huko Molineux, huku klabu zikishindwa kufikia bei yake ya £75m inayomtaka.

Manchester United wameungana na Newcastle katika vita vya kumnunua beki Mfaransa Benoit Badiashile, 21, kutoka Monaco mwenye thamani ya pauni milioni 50.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Kipa wa Argentina Sergio Romero, 35, ana nia ya kurejea Manchester United mwaka mmoja tu baada ya kuondoka katika klabu hiyo na kuichezea klabu ya Serie A Venezia.

Tetesi zinasema, Nottingham Forest wako kwenye mazungumzo na Manchester City kumnunua beki wa kimataifa wa Burkina Faso Issa Kabore, 21.

Bayern Munich wamekataa ofa ya tatu kutoka kwa Barcelona kutaka kumnunua mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski, 33, huku mabingwa hao wa Ujerumani wakitaka pauni milioni 43.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa