Tetesi zinasema Mwenyekiti wa Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amesema anataka mlinzi wa Austria David Alaba kusalia kwenye klabu, lakini uamuzi unabaki kuwa wa mchezaji huyo mwenye miaka 28.
Real Madrid wanataka kumsajili Alaba baada ya mkataba wake kukamilika msimu ujao.
Mshambuliaji wa Noreay Erling Haaland, 20, hana kipengele cha uhamisho kwenye mkataba wake, anasema Mtendajji mkuu wa Borussua Dortmund Hans-Joachim Watzke.
Tetesi zinasema Barcelona wanaweza kuhamia katika mchakato wa kumnasa kiungo wa kati wa Tottenham , Mfaransa Tanguy Ndombele, 23, msimu ujao.
Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amesema kuwa beki wa kati Mfaransa William Saliba anaweza kuondoka kwa mkopo mwezi Januari.
Mlinzi anayekipiga Ajax Edson Alvarez, 23, amebainisha shauku yake ya kujiunga na Manchester City siku moja.
Tetesi zinasema Manchester United imekosa kumsajili winga wa Bayer Leverkusen, Mfaransa Moussa Diaby, 21, katika msimu huu wa dirisha la usajili.
Mshambuliaji wa Manchester United Mason Greenwood,19, anatarajiwa kurejea kwenye kikosi cha England siku ya Alhamisi.
Kocha wa Arsenal Arteta hayuko tayari kuzungumzia kuhusu kuongeza mkataba kwa ajili ya kiungo wa kati wa Misri Mohamed Elneny,28, ambaye mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu.
Tetesi zinasema Mazungumzo kati ya mchezaji wa Uhispania anayecheza nafasi ya ulinzi Sergio Ramos, 34 na klabu ya Real Madrid kuhusu mkataba mpya yameanza.
Ligi ya Primia itafanya mazungumzo na watangazaji kuona kama waendelee na mfumo wa kutoza fedha kwa kila mechi itakayotazamwa baada ya mkutano na vilabu vyote 20 siku ya Alhamisi.
Mshambuliaji wa zamani wa Aston Villa Gabriel Agbonlahor amesema mkataba mpya wa Kiungo wa kati wa Uskoti John McGinn , 26, utakuwa ofa kubwa ijayo kutangazwa na klabu hiyo.
Hii ni halisi kwa ajili ya mashujaa wote! Ukiwa jasiri unavuna mkwanja kibao hapa na sloti hii ya Huangdi Casino. Waka nusu tukupe maradufu!
Ester jackson
Habari njema
Khadija
Habari njema kwa mashabiki
Dorophina
Bonge la dili kwa alaba likifanikiwa
Adelta
Hili ni bonge la makala
Caroline
Arteta anajua kuchagua wachezaji wa kuwasajili
Angelina
Arteta kwwnye usajili yuko vizuri
Lydia Emmanuel Magoti
Yupo vizuri anajua
Salma ngende
Habari njema
Tatu
Arteta achoshwa na matendo ya saliba
Sauda
Arteta amechagua wachezaji bora
Saupha mohamed
Good news
aisha
Alaba kama dili hilo likitiki duu itakua powa sana
Sabrina
Itapendeza Alaba akitua madrid
Mwajumah
Habari njema kwa mashabiki
Fatina mfingi
Safi sanaa
zeiyana
Usajiri umepamba moto
Shani
Nice
Hopemwaikuka
Zko vzur
Povel
Gud information
warda
Iko poa