Newcastle wapo tayari kutumia £70m kumnasa kiungo wa Barcelona Philippe Coutinho kama klabu itakubali kumruhusu nyota huyo auzwe, Mbrazili huyo kwasasa yupo kwa Mkopo Bayern Munich.
Matajiri wa Newcastle pia wanamtaka kumsaini nyota wa Napoli na Senegal beki wa kati Kalidou Koulibaly. Koulibaly anatarajia kuondoka Napoli dirisha hili la usajili kwa £69.8m. Japo, Koulibaly anatamani kutua Liverpool.

Borussia Dortmund wanatarajia winga wa Uingereza, Jadon Sancho, 20, atasalia klabuni pamoja na Manchester United kuwinda saini yake.
Arsenal watakuwa kwenye nafasi nzuri ya kumsaini straika wa Inter Milan, Mauro Icardi, 27, kama mbadala wa Pierre-Emerick Aubameyang. Aubameyang, 30, mkataba wake unamalizika msimu ujao waka Icard kwasasa yupo kwa mkopo Paris St-Germain.
Kinda wa Barcelona Marc Jurado, 16, amakataa mkataba wa kujiunga Barcelona ya Wakubwa. Beki wa kulia anatarajia kujiunga na Manchester United kipindi hiki cha kiangazi.
Winga anayewindwa na Chelsea, Dries Mertens bado hajasaini mkataba mpya na Napoli. Mbeligiji huyo mkataba wake unamalizika majira ya kiangazi.

Chelsea, Manchester United na Tottenham wanamwania kiungo wa Lazio, Sergej Milinkovic-Savic. Msebia huyo ameruhusiwa kuondoka klabuni kwa £80m.
Winga wa Kosovo na Wolfsburg, Milot Rashica, 23, anawindwa na Liverpool, Raisi wa Shirikisho la Mpira wa Kosovo amesema.
Vinara wa Championship, Leeds United wanawinda saini ya kiungo wa Linfield Charlie Allen. Kinda huyo pia amehusishwa na Chelsea, Tottenham na Liverpool.
Chelsea wahusishwa kumwania beki wa Monaco, Fode Ballo Toure. Mfaransa huyo ana mkataba hadi 2023.

Henrikh Mkhitaryan amekataa kuwa Arsenal wanataka kumuuza Muarmenian. Mino Raiola amesema taarifa hizo ni uzushi.
Kiungo wa Barcelona na Croatian, Ivan Rakitic, 32, amesema hana mpango wakuondoka kwenye klabu hiyo, pamoja na mkataba wake kumalizika 2021.



Neema juma
Taarifa kedekedee mnatupatia meridianbet naipigia saluti
TATU
wataweza kumsajili
Adelta
Asante kwa taarifa
Hamidu
Sante kwa taarifa
JULIANA
Sasa itakuaje na uyo jamaa yuko kwa mkopo
Ester mmakasa
Asante meridianbet kwa kutujuza mambo yanayoendelea dunian kote.
Frank patrick
Koulibally teena asije bhana tutawauwa wapinzaniii….Liverpool sisi gomes anatutosha
Njiku
Mbrazil huyo alikipiga Liverpool namkubali sanaa
Shafii
Bonge la usajili kwa newcastal United endapo watafanikisha kumpata
Gabriel
Mbrazir huyo yko vzur anatisha
aisha
na mkubali sana uyu jama kama watampokea safi sana
felister
asante kwa taarifa
Geniaskaluzwe8
Asante kwa taarifa
mathayo sonje
hiki ni kipindi ambacho kila timu inatarajia kukava mapengo ambayo yalikua yanawarudisha nyuma mchezoni
Mariam
Asante kwa tarifa
SADICK
Asante# meridian kwa taarifa za usajiri
Ernest Kimeru
This will be great Deal if they win the race.
Kenani
Nakubal sana
Povel liwongolo
Moja Kati ya wachezaj Bora ulimwengu hv Sasa Asante meridian bet kwa habar za Kimichezo
Dorophina
Asante kwa taarifa
Ester jackson
Itakuwa raha sana akichukuliwa mana yuko vizur
Christopher
Tetesi ni nyingi ila deal chache sana hapo zinaweza kukamilika, pia Newcastle nao wakiwza kutimiza mipango yao ya usajir wataleta ushindan mkubwa pale EPL
Hamidu
Newcastle utd ikifanya kweli..itakuja kuwa moja ya timu bora pale epl
Furahav
Bonge la mchezaji.
Salma
Asante kwa taharifa
Asia Abdy
Itakua poa
Lydia Emmanuel Magoti
Namkubali yupo vizuri
Lombo
meridianbet mpo juu kwa habar moto moto
Zainabu
Sasa ivan mkataba umeisha wasipo kusajili mkataba mpya utalazimisha kubaki barcerona au utacheza bure katafute maisha mbele huko
Mwanaidi
Hizi ni tarifa muhimu za usajiri asanteni sana meridianbet
Elika
Kambi popote.mwacheni kalidou aje Liverpool
winfrida
yuko vzr sana
Khadija
Ahsante kwa taarifa meridian
Fatina
Asanteh kwa kutujuza
David pere
Litakuwa dili zuri Sana Kama watashinda mbio za kumaajili