Leicester wamempatia kiungo wa kati wa Liverpool Adam Lallana, ofa ya mkataba wa kudumu. Mkataba wa kiungo huyo wa kimataifa wa England, Anfield unakamilika mwisho wa mwezi Juni. (Football Insider)
Klabu tano za ligi ya Premia – Chelsea, Newcastle, Manchester United, Arsenal na Leicester – zinamtaka kiungo wa kati wa Barcelona na Brazil midfielder Philippe Coutinho. Nyota huyo wa miaka 27, ambaye kwa sasa yuko Bayern Munich kwa mkopo, anatarajiwa kuuzwa kwa karibu £90m. (Mundo Deportivo – in Spanish)

Real Madrid wamepokea ofa kutoka kwa klabu zinazomtaka mshambuliaji wa Wales Gareth Bale,30, lakini mchezaji huyo anatarajiwa kusalia katika klabu hiyo kwa mwaka mwingine mmoja. (Marca)
Manchester United na Newcastle wanamtaka winga wa Uruguay Facundo Pellistri,18, ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Penarol. (Mail)
Galatasaray wanapania kushinda usajili wa winga wa Bournemouth Ryan Fraser. Kiungo huyo Scotland pia ananyatiwa na Arsenal naTottenham. (Daily Record)
Everton itafanya mazungumzo na Djibril Sidibe kuhusu kurefushwa kwa mkopo wake ligi ya Premia itakaporejelewa mwezi Juni. (Liverpool Echo)
Shanghai Shenhua wamelegeza msimamo wao kumruhusu mshambuliaji wa Nigeria Odion Ighalo,30, kurefusha muda wake wa mkopo Manchester United. (ESPN)

Paris St-Germain wanakaribia kuafikiana kuhusu mkataba wa Mario Icardi. Muargentina, huyo wa miaka 27, yupo PSG kwa mkopo kutoka Inter Milanlakini mkataba wake unakamilika Mei 31. (Sky Sports)
PSG pia wanatafakari uwezekano wa kumsajili mchezaji nyota wa Chelsea Willian,31, ambaye huenda akawa tayari kuondoka kwa mkataba wa bila malipo mwisho wa msimu huu. (Le10Sport – in French)
Liverpool huenda wakacheza mechi yao ya nyumbani iliyosalia sehemu itakayokubalika na wote, endapo ligi ya Premia itarejelewa tarehe 17 Juni. (Times – subscription required)
Inter Milan wanatarajiwa kumuongezea mkataba beki wa zamani wa Manchester United Ashley Young ambaye alijiung ana klabu hiyo ya Italia Januari kwa mkataba wa awali wa miezi sita.


David pere
Ni vizuri kufanya usajiri mapema sababu muda utakuwa ni mfupi Sana wa kujiandaa kutokana ligi kuchelewa kumalizika
Samiah
Nivizuri kufanya usajili mapema
Salma
Ni jambo sahihi kumuongezea mkataba Ashley young ni beki mzuri anaejituma
Antony Luseno
William angebaki tu Chelsea bado lampard anamhitaji mno
Rehema
William angebaki tu hapa hapo alipokuwepo maana lampard anamhitajisana
Neema hassan
Ashley fundii anastahili usajili mpya
Agness
William angebaki tuu Chelsea
aisha
hongera adam lallana
Genia Sikaluzwe
Lallana angeenda tu Leicester pale Liverpool apati nafasi.
Adelta
Ni vizuri kumuongeza mkataba
Rehema Dickson
usajiri mapema sababu muda utakuwa ni mfupi Sana wa kujiandaa kutokana ligi kuchelewa kumalizika
Tahiya
Hapo ndio tunaona jeuri ya pesa ukizingatia muda ni mchache mambo ni mengi
Theckla
Wamalize mapema Mana mda uliopo ni mchace
felister
pongezi kwako lallana kwa ofa kabambe
Juliana
William ni fundi aise abaki tu
Ester mmakasa
Asante meridianbet kwa taarifa nzuri za usajili.
frank
Lallana aikubali ofa hiyo chap sana
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Lombo
vzur ndo muda muafaka huu kwa wachezaj na virabu
Emmy cleopa
William yuko vizur habaki tu
Gabriel
Nice update # meridianbettz
Hamidu
Coutinho bado ni mchezaji nzuri
Akija man utd atafiti kwenye mfumo
Ila tusubil na tuone deal lake Kama litafanikiwa #meridianbettz.
Amani
Real Madrid wamepokea ofa kutoka kwa klabu zinazomtaka mshambuliaji wa Wales Gareth Bale,kweli Bora asalie Apo kuliko kwenda sehemu nyingine aongezee juhud na mazoezi#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Nivizuri ndomda muafaka huu kwa wachezaji na virabu vyao
Caroline
Sawa
Furahav
Hii habari safi sana.
mwakalosi
man United wasikurupuke katika usajili wakatuletea viande
Ernest
Hapa naona Coutinho kutua Newcastle kabisa
Mwanahamisi
Hii habari iko poa sana
Povel
Gud news
Shafii
Napenda Sana tetesi za usajiri asante sana meridianbet
dorophina
Tnx meridian kwa update za kimichezo
Magdalena
Mambo yanazidi kupamba moto uko ulaya muda umebaki mchache wachangamke tuanze kuangalia soka
Genia Sikaluzwe
Lallana angeenda tu Leicester pale Liverpool apati nafasi
Kenani
Liverpool usajil wao ukikamilika utakua usajil mzur kwao
Neema juma
Habari nzuri