Kocha wa timu ya Taifa ya soka la ufukweni, Boniface Pawasa amesema uteuzi wa nyota wa maafande wa Tanzania Prisons, Benjamini Asukile kwenye kikosi chake ulifanyika kabla ya kufungiwa na Kamati ya mashindano ya TFF.
Akitoa ufafanuzi, Pawasa amesema, “Tunasubiri mwongozo kutoka TFF kama tunaweza kumtumia au laa kwa sababu tulimwita kabla ya kuadhibiwa.”
Pawasa na vijana wake akiwemo Asukile wapo visiwani Zanzibar wakijiandaa na fainali ya mataifa ya Afrika ambazo zinatarajiwa kufanyika Senegal.
Asukile amefungiwa kucheza mechi 5 za mashindano yanayoandaliwa na TFF na faini ya TSh 500,000.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Sawa
Vizuri
Dhuu adhabu kubwa wamempa
Duuh majanga
Mbona balaa
Duuh majanga
Duuuh
Hatari
Majanga kwa asukile..pole yake
Pole yake
Majanga
Adhabu ni kali
Hatari