Usikilaumu kiwango cha Man United, laumu ubora wa Liverpool. Man United wangefanya nini kingine kuizuia Liverpool hii??

Dakika 33 za kwanza Man United hawakugusa mpira hata mmoja katika ‘box la Liverpool’

Thiago
Thiago
Shuti la kwanza la Man United kuelekea golini kwa Liverpool lilikuja dakika ya 53. Katika mood ile ya Liverpool wasingeweza kuzuiwa na Man United ya ‘kuungaunga’ kama hii.

Nadhani Paul Pogba alitoka mapema zaidi ili apate nafasi ya kujifunza kwa Thiago namna ya kucheza kiungo cha kati.

Thiago alimaliza first half akiwa na usahihi wa pasi 98%, alipoteza pasi moja tu.

Kwa miguu yake miwili, Salah amewapiga Man United mabao matano msimu huu.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa