Meneja wa Arsenal, Mikel Arteta hajakanusha madai juu ya uwezekano wa Thomas Partey na Kieran Tierney watacheza dhidi ya Manchester City Jumamosi.

Partey anaweza kucheza mechi yake ya awali kabisa akiwa na Arsenal baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni milioni 45 kutoka Atletico Madrid siku ya mwisho ya dirisha la usajili.

Thomas Partey


Kwa mara ya kwanza Staa huyu alifika kwenye viwanja vya mazoezi vya Arsenal Jumanne baada ya kumaliza majukumu yake ya kitaifa na timu ya taifa ya Ghana.

Hata hivyo, taarifa zinasekuwa Arteta atazingatia hali ya nyota huyu mazoezini kwa siku ya Alhamisi na Ijumaa ili kuamua kama atakuwepo kwenye kikosi chake.

“Leo atakuwa na mazoezi yake ya kwanza. Atahitaji kwenda haraka. Anataka kucheza. Tutaona, unaona wachezaji wanaenda a na hali haraka sana.” – Mikel Arteta akizungumza Alhamisi Asubuhi.


 

Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino


26 MAONI

  1. Hapo ni yeye tu ARTETA kumtumiah au kutomtumiah fundi huyo wa mpra kwn hanaonekana yupo fiti kwa asilimia zote kinachosubiriwah hapo kocha kufany maamuzi kumpanga au kutompanga kulingana na mechi husika

  2. hujuo huu wa thomas inaonesha zaili ni mbadala wa ozil tu hapo akuna namna arteta amesajiri wachezaji wengi wenye uwezo nia yake yote kuijenge arsenal ile ya zamani

  3. Makandokando ya usajiri wa Thomas Partey umepelekea Atletico kusema haitafanya biashara tena na Arsenal kwa kitendo chake kumusajiri bila kufuata taratibu ambazo zingepelekea wao kupata mbadala

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa