Kocha wa klabu ya Chelsea Thomas Tuchel amekubali kuwa ana wasiwasi wa kuwapoteza nyota wake baada ya mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich kuiweka sokoni klabu hiyo.

Roman Abramovich alithibitisha kuwa anaiuza klabu hiyi siku ya Jumanne baada ya kuimiliki kwa miaka 19, kufuatiwa kwa shinikizo baada taifa lake la Urusi kuivamia nchi ya Ukraine.

Thomas Tuchel, Thomas Tuchel na Hofu ya Kuwapoteza Nyota Wake, Meridianbet

Wachezaji ambao mikataba yao inaisha majira ya kiangazi Thomas Tuchel hana uwakika kama wanaweza kushawishika kusalia kwenye klabu hiyo baada ya Roman Abramovich kuondoka ambao ni kapteni wa timu hiyo Cesar Azpilicueta, Antonio Rudiger na Andreas Christensen.

Thomas Tuchel alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kabla ya mchezo wake wa kesho dhidi ya Burnely alinukuliwa akisema, “kutoka kweye mstari wa mwisho hatuwezi kusaidia hili, lilivyo ndivyo itakavyo kuwa, huwezi jua kwenye makubaliano kuna matokeo mazuri au mabaya.

“Hatuwezi kutabiri na ningependa nisitabiri kwenye hili, kwa sababu unaweza kupoteza muelekeo, kila mmoja yupo kwenye hali tofauti na anajisikia tofauti kutokana na kuuzwa kwa klabu, natumai matokeo yatakuwa mazuri, nahisi tunakitu tunaweza fanya bado, Chelsea ni klabu yenye nguvu na itabaki kuwa na nguvu.

“Mmiliki wetu ameamua kuiuza klabu, lakini anaiuza klabu yenye nguvu, imara, inaumoja wa hali ya juu.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa