Timo Werner Yupo Fiti Kuwavaa Switzerland

Kocha wa Ujerumani amethibitisha mshambuliaji wake – Timo Werner yupo tayari kuwavaa Switzerland katika michuano ya UEFA Nations League.

Baada ya kukosekana kwenye mchezo uliopita, sasa Werner atakuwepo kwenye mchezo unaofuata baada ya kupona majeruhi yaliyomuweka nje.

Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo dhidi ya Switzerland, Joachim Low amesema, ” Timo Werner amerejea katika ubora, hakuna tatizo. Ila bado tunamashaka kidogo. Julian Draxler, Lukas Klostermann na  Marcel Halstenberg bado ni majeruhi.”

Ujerumani ni kama wanataabika kupata matokeo mazuri kwa muda sasa. Ushindi wao dhidi ya Ukraine ndio ushindi pekee katika mechi zao 4 za mwisho.

Low amekuwa akipata wakati mgumu kama kocha kutokana na timu yake kuonekana imeshuka kiwango. Mchezaji wa zamani wa Ujerumani ambaye pia alibeba kombe la dunia 1990 –Lothar Matthaus ameitaka timu hiyo kuwa na mtizamo mpya.

“Kuna maoni mengi kwenye mpira. Wataalamu wanatoaga maoni yao  na nikitu kizuri lakini simaanishi nawashushia heshima. Cha msingi ni kwamba tunajitathimini wenyewe kwa undani na siku zote tunafanya hivyo.” alisema Low kuhusu maoni ya Matthaus.


Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

25 Komentara

    Timo anajiamini sana

    Jibu

    Sizani kama hatakua yupo fiti kama zamani kwa majeraha aliyo kua nao

    Jibu

    Safi

    Jibu

    werner ajipange vya kutosha maana wapinzani wake wanaonekana kuwa na maandalizi mazuri sana

    Jibu

    Safi sana Timo

    Jibu

    Werner atakuwa kajiandaa vyema. Atafanyaa maajabu uwanjani

    Jibu

    Timo werner amerejea kwenye ubora wake kwa sasa hana tatizo

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Timo uko vizuri sana tunakuaminia

    Jibu

    Timo yupo vizuri mechi atakayoicheza sio ya kuikosa kabisa atakuwa amerudi kwa speed

    Jibu

    Werner ana tisha sana

    Jibu

    Yuko vzuri Sana

    Jibu

    kulitananga soka

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Mechi nyepesi kwa Germany

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Werner ni balaa

    Jibu

    Mchezaji hatar

    Jibu

    All the best Timo Wener

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Werner atakuwa kajiandaa vyema.

    Jibu

    Werner anapaswa kupew muda zaid ilikurud kwny ubora wake

    Jibu

Acha ujumbe