Mtandao wa Wealthy Gorilla kutumia data kutoka CNBC, kupitia kipindi cha “Business Insider and Sports Show” wamechambua timu tajiri 20 duniani kwa mwaka 2021.
Timu zote 20 zinatoka kwenye bara Ulaya, huku klabu za kutokea nchini Hispania zikiwa bado kwenye kilele japokuwa na matatizo ya kifedha wanayopitia kwenye 2021 kutokana na mlipuko wa Uviko-19.
Timu tano kati ya kwenye 10 ni kutoka kwenye ligi kuu ya Uingereza, huku klabu ya Newcastle United ikishika nafasi ya 19 kwenye listi vilabu vya tisa vya Uingereza vimeongoza kwenye kutengeneza mapato kwa mwaka 2021.
1. Barcelona (Spain/La Liga): $959Milioni
2. Real Madrid (Spain/La Liga): $864Milioni
3. Manchester United (England/Premier League): $811.7Milioni
4. Bayern Munich (Germany/Bundesliga): $753.1Milioni
5. Paris Saint-Germain (France/Ligue 1): $725.5Milioni
6. Manchester City (England/Premier League): $696.6Milioni
7. Liverpool (England/Premier League): $689.9Milioni
8. Tottenham Hotspur (England/Premier League): $594.5Milioni
9. Chelsea (England/Premier League): $585.3Milioni
10. Juventus (Italy/Serie A): $524.5Milioni
11. Arsenal (England/Premier League): $497.9Milioni
12. Borussia Dortmund (Germany/Bundesliga): $360Milioni
13. Atletico Madrid (Spain/La Liga): $345.3Milioni
14. Inter Milan (Italy/Serie A): $318.5Milioni
15. AS Roma (Italy/Serie A): $283.6Milioni
16. Schalke 04 (Germany/2. Bundesliga): $276.5Milioni
17. Everton (England/Premier League): $241.4Milioni
18. AC Milan (Italy/Serie A): $235.6Milioni
19. Newcastle United (England/Premier League): $228.6Milioni
20. West Ham United (England/Premier League): $224.5Milioni
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA