Kufuatia ligi kuu ya VPL kukamilika leo hii, ni rasmi sasa zile timu za kushuka daraja na za kucheza play offs zimejulikana.
Timu zilizoshuka daraja ni:-
– JKT Tanzania
– Gwambina Fc
– Ihefu Fc
– Mwadui Fc
Timu zitakazocheza playoffs ya kusalia katika ligi ya VPL ni :
– Coastal Union
– Mtibwa Sugar.
Katika viwanja vingine, Coastal Union walijihakikishia kucheza playoffs baada ya kuwapiga Kagera Sugar bao 3-1, kwa upande mwingine Biashara walipigwa kipigo cha 4-0 kutoka kwa Mbeya City.
Mechi ya mwisho inayosubiriwa ni ile ya fainali ya kombe la shirikisho la Azam kule Kigoma ambapo pia itakuwa ni Kariakoo Derby.
Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!
Chiku
Hata walishuka daraja bado Wana kiwango kikubwa Cha ushindi