Afrika imejaaliwa na wapenzi wengi wa soka katika kila taifa kuna wapenzi wa soka, linaweza kua kimataifa au kwa timu za ndani, Katika ushabiki wa soka nako kuna namna mbili za ushabiki ya kwanza ni ile Timu inakua na mashabiki wengi lakini haina wapenzi ambao wako tayari hata kufuka mipaka ya taifa lao kuifata timu inapo shiriki michezo, na kuna Timu ambayo ina mashabiki wachache ila wanakua na mapenzi makubwa yasioyo mithilika na timu zao.
Leo tumekuletea zile timu 5 za Afrika zenye mashabiki wenye mapenzi makubwa na timu zao.
1. Ethiopian coffee Fc
Sio timu kongwe ila imefanikiwa kutengeneza mashabiki wa kunywa maji ya bendera.
Adis Ababa stadium una uwezo wa kuchukua mashabiki 32273. Amini nakwambia hii timu kila mechi wanauza tiketi 32273.
2. National Club Al Ahly
Mabingwa Mara 39 wa Misri na mabingwa Mara nane wa Wa Afrika. Wanatambulika kwa mashabiki wao wenye upendo na ukichaa dhidi ya timu yao.
3. Tout Puisant Mazembe
Bingwa wa kwanza wa Afrika kucheza fainali ya mabingwa wa dunia mwaka 2010(Mazembe Vs Inter Milan) Inapendwa saana na mashabiki wake na siku zote huujaza uwanja wao wa Mazembe.
4. Raja Casablanca
Timu Ya pili kutoka Afrika kufika fainali ya kombe la dunia la vilabu mwaka 2013.
Wanaitwa Mwewe wa kijani (Green Eagles)
5 Esperence De Tunis
Mabingwa Mara 27 wa Tunisia, wanajiita “Blood and Gold” wanawakilisha jezi yao ya rangi nyekundu na Dhahabu. Wamefika fainali sita za ligi ya mabingwa Afrika na wameshinda Mara mbili.
Sadick
Nilidhani Timu yangu Simba ni miongoni mwa timu hizo!!# meridianbettz
mwakalosi
duh aisee hii sikuwai isikia aisee
Salma
Duh!
Antony Luseno
Football ndo mchezo unaongoza kupendwa sana duniani
Hope mwaikuka
Waoo nlkua siijui hii
Ester jackson
Nilivyo ona tu kichwa cha habari nikajua timu ya yanga na simba hazikosi hapo haha haa pongezi sana kwa timu ya inter Milan nayo haipo nyuma
felister
Ethipiaon coffee ongera zao kwa kua na mashabiki wengi
Ernest
Duuuh Simba na Yangaa tupwaa kuleee!!!!??
Tahiya
Kandanda ndio mchezo pendwa sana na izi makala zilizoshiba ni balaa
Genia Sikaluzwe
Daaaah Simba na yangaa lazima ziwepo hapo
aisha
Na simba je ipo nayo
Rehema
Du!!! Habari nzuri mana nilikuwa sijui km Afrika wanapenda mpira hivi.
Hamidu
Simba & yanga kwa hapa bongo zina wapenzi wengi #meridianbettz
dorophina
Ni habari njema sijawahi kuisikia
Genia Sikaluzwe
Daaaah Simba na yangaa lazima ziwepo hapo
Asia Abdy
Mnatujuza mengi sana meridian#Asante
Amani
Mbona Simba ya Tanzania aipo kwenye orodha ya timu zenye mashabiki wengi#meridianbettz
David pere
Inamaana Tanzania hatina hata timu moja kweli hakuna mpira tz
Gabriel
Ata Yanga tuko wengi sana
Furahav
Kumbe Afrika wanapenda sana mpira.
Lombo
ukiacha muziki kinachofuata mpira
Povel
Duh Simba na yanga za kariakoo mbona zijaziona nikajuwah ctakuwepo thnks meridian bet kwa update za michezo na burudani
Mwanahamisi
Duh
Kenani
Mpira wa africa umekua Sana asahv na tunashabikiwa pande zote za dunia soka letu limekua Aya kiburudan uwanjan
Emmy cleopa
Duuuh
Lydia Emmanuel Magoti
Kumbe nilikuwa sijui
Samiah
Hata simba alikuwa hatujui
Isaya massawe
Tanzania Hanna hata moja
Shafii
Makala nzuri sanaa