Klabu ya Tottenham wanakaribia kukamilisha dili la kumsajili winga wa Inter Milan, Ivan Perisić kwa uhamisho wa bure baada ya kufikia makubaliano binafsi.

Tottenham pia wameiambia Inter Milan kuwa wako tayari kumsajili Ivan Perisić kwani makubaliano sasa yako katika hatua za mwisho.

 

tottenham, Tottenham Wakubaliana Kumsajili Perisic., Meridianbet

 

Perisić alitaka kuwa na heshima kwa klabu yake ya Inter kwa kuwataarifu hamu yake yakutimiza ndoto yake na kujiunga na Ligi Kuu ya Uingereza.

Tottenham wameandaa mkataba wa miaka miwili tayari kwa Ivan Perisić, baada ya ombi la Inter la kuongeza mkataba kukataliwa siku chache zilizopita.

Perisic alifundishwa na Conte wakiwa pamoja Inter na sasa ameshinikiza kusajiliwa kwa mchezaji huyo baada ya siku chache baada ya usajili wa golikipa, Fraser Forster.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

 

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa