Klabu ya Tottenham Hotspur imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Everton, Richarlison (25) kwa dau la pauni milioni 60.

Richarlison amejiunga na klabu ya Tottenham kwa kandarasi ya miaka mitano mpaka mwaka 2027.

 

tottenham, Tottenham Yakimilisha Usajili wa Richarlison., Meridianbet

Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Brazil anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa na Kocha Antonio Conte katika dirisha hii la usajili baada ya Ivan Perisic, Fraser Forster na Yves Bissouma.

Spurs imefanya kazi ya ziada kumnasa mchezaji huyo aliyekuwa akiwaniwa pia na Arsenal na Chelsea. Alijiunga Everton mwaka 2018 na anaondoka akiwa amecheza michezo 152 na kufunga magoli 53.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa