Nahodha wa zamani wa Yanga, Pappy Tshishimbi amesema pambano la watani wa jadi litakalopigwa kesho timu itakayokuwa imefanya maandalizi ndio itaibuka na ushindi, lakini kaongeza kuwa Simba SC ya sasa mziki wake ni mnene na Yanga lazima wajipange.

 

tshishimbi, Tshishimbi Simba Wako Vizuri Msimu Huu., Meridianbet

Yanga sio kama wapo vibaya. Hapana! Ila ni kwamba timu haijatulia na imekosa utulivu, lakini wana uwezekan wa kuwapa ushindani wa kutosha Simba kama ilivyokuwa katika mchezo wa kwanza ulioisha kwa sare ya 1-1.

“Mtazamo wangu haitakuwa mechi rahisi kww Simba au Yanga kwani wote wawili wanapambania ubingwa. Ila kwa aina ya vikosi, Simba SC wapo VIZURI.” aliongeza Tshishimbi.

Ikumbukwe Tshishimbi alikuwa sehemu ya kikosi kilichoitungua Simba bao 1-0 ktk Ligi Kuu mechi iliyopigwa Machi 8 2020, mfungaji akiwa BM3.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

tshishimbi, Tshishimbi Simba Wako Vizuri Msimu Huu., Meridianbet

SOMA ZAIDI

8 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa