Beki wa Manchester City Aymeric Laporte amesema maamuzi ya ya kumalizia Ligi yanatakiwa yaachwe kwa wataalamu wa afya katika kipindi hiki EPL wakitaka kurejea viwanjani
Vilabu vya Premier League vimetanabaisha kumaliza msimu 2019/20 baada ya kupokea muswada jinsi msimu utakavyo endelea Juni 8.
Katika kikao cha video kilichohusisha wawakilishi wote wa vilabu, kujadili namna msimu utakavyomalizik kwenye viwanja 8-10 vya kawaida kutumika kumalizia michezo iliyobaki.
“Ni tofauti kwetu kama tutaanza wiki moja au mwezi mmoja kabla, taarifa zitakuwa nzuri, lakini cha muhimu ni afya.
Tunasubiri taarifa za wataalamu wazungumzie kuhusu, na ndio kitu muhimu. Ni bora kwenye kazi hii, watafanya maamuzi bora kwa kila mtu
“Nimemiss mpira sana – nahitaji kucheza na kufanya mazoezi, na nafikiri ni mara ya kwanza kwenye maisha yangu kutokucheza kwa muda mrefu. Natumaini hivi karibuni nitarejea uwanjani na kwenye Ligi ya Mabingwa pia.
Wachezaji wengi wamekiri kujitenga na familia zao umbali mrefu katika mapambano dhidi ya Corona, na imekuwa kipindi kigumu cha lockdown, hata kwangu ni hivyo hivyo.
“Ni vigumu kukaa bila kuona familia yangu, lakini nafurahia kuwa na nilionao karantini hapa Manchester – Mchumba na Paka wangu.
“Nimeishi mwenye tangu miaka 12 kwahiyo kuwa mbali na nyumbani ni kawaida kwangu. Ugumu kutokujua lini nitaiona tena familia yangu.
Ester mmakasa
Wachezaji wote wawekwe kwenye uangalizi kabla kuonana na familia zao ,na kwenye ligi zao.
JULIANA
Ila kweli mazoea yana tabu,inaumiza sana kukaa mbali na familia
JULIANA
Ila kweli mazoea yana tabu,inaumiza sana kukaa mbali na familia(Corona ni hatari)
Ester jackson
Mazoezi ni muhimu na kufuata taratibu zilizo wekwa na wawekewe mfumo mzuri wa kukutana na familia zao mana familia nazo nimuhimu
samiah
Wakakutane na familia zao ili wakafukize nyungu
Elika
Yote ni sababu tu ya hili gonjwa.kuwa mbali na familia,ila yataisha tu haya yote na tutasahau,na wanamichezo kurejea viwanjani na kufanya mazoezi kama zamani,
Adelta
Mazoezi Ni muhimu ili wawe wepes
Uwanjani
Mathayo sonje
Laporte yuko sawa kabisa kwa swala la kiafya wawaachie wataalam wa afya ndio wanao jua kama corona imedhibitiwa au la.
furahav
Yatakwisha tu.
Zeiyana iddi
Kikubwa huwangalizi tu
Amani
Bora wasubiri wapewe muongozo na watalamu wa afya
Neema hassan
Litakwisha wataendlea na ligi Kama zaman
Aziza moshi
Mazoezi ni muhimu na kifuata taratibu zote.hili janga litapita tu kwa uwezo wa mungu na wataendelea na ligi kama awali
Samira
Afya kwanza mpira ndio utachezeka vizuri zaidi
Salma
Ni kwel kila jambo lina mwisho wake
Hidaya Mohammed
Afya ndio muhimu kwanza
Lydia Emmanuel magoti
Mazoezi ndio muhimu
Rehema Dickson
muhimu na kifuata taratibu zote.hili janga litapita tu kwa uwezo wa mungu na wataendelea na ligi kama awali