Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amethibitisha kuwa beki wa timu hiyo, Antonio Rudiger ataondoka klabuni hapo baada ya mkataba wake kuisha mwisho wa msimu huu.

 

tuchel, Tuchel Athibitisha Rudiger Kuondoka Chelsea., Meridianbet

Tuchel amesema “Rudiger anataka kuondoka. Ameniambia katika mazungumzo yetu binafsi. Tumejaribu kila kitu ila hatukuweza kujaribu zaidi kutokana na vikwazo.

“Itakua vigumu sana kwasababu Toni amekuwa ni kiongozi mkubwa. haogopi, anajiamini, katika mechi 50 au 60 alizocheza amekuwa katika kiwango kikubwa.” Tuchel aliongeza.

Tetesi zinadai kuwa Rudiger ameanza mazungumzo na klabu ya Real Madrid ya Uhispania ili kujiunga na klabu hiyo akitokea Chelsea baada ya mkataba wake kukamilika mwishoni mwa msimu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa