Mlinzi wa klabu ya Chelsea Antonio Rudiger ataondoka kwenye klabu hiyo baada ya mkataba wake kuisha majira ya kiangazi baada ya kufanya kikao cha siri na kocha thomas tuchel.

Tuchel amethibitisha hilo baada ya mchezo dhidi ya West Ham Keisha, huku Chelsea ikiibuka na ushindi wa 1-0, goli hilo likifungwa na Pulisic kwenye uwanja wa Stamford Bridge.

Tuchel

Rudiger mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu huu, na vyombo mbalimbali vilitoa taarifa kuwa muda wake umekwisha wa kubaki darajani. Tuchel baada ya mechi kuisha alithibitisha hizo tetesi kuwa ni kweli.

“Yupo kwenye wakati amabo anahitaji kuondoka, ameniambia wakati tulipokuwa na mazungumzo ya siri. Tulimpatia kila kitu mimi na klabu, lakini hatukuweza kupambana zaidi kwasababu ya vitendo vyake.

Bila ya vikwazo tungeweza kupambana zaidi, lakini liko nje ya uwezo wetu kwa sasa. Hatuna kinyongo. Ni maamuzi yake, ni mtu muhimu na atabaki mpaka mwisho wa msimu, lakini inakatisha tamaa.

“Tutamkumbuka sana, motisha anaotoa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, ni mtu ambaye kila mmoja alikuwa anamuogopa, lakini aina yake ya uchezaji michezo 50 hadi 55 akiwa na kiwango cha juu. Ni mlinzi bora kwangu kwa mwaka mmoja na nusu.” Alisema Tuchel


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa