Thomas Tuchel tangu atue Stamford Bridge akirithi mikoba ya Frank Lampard hakika amefanya mabadiliko makubwa katika timu ya Chelsea baada timu hiyo ya kukosa muendenendo mzuri. Amefanikiwa kuitoa timu nafasi ya 10 mpaka sasa nafasi ya nne kufika fainali mbili moja ya Champions League na nyingine FA Cup.

Sasa uongozi wa Chelsea umeamua kumpatia kiasi cha pauni milioni 150 ili akiboreshe kikosi chake wakati wa dirisha la usajili wakati wa kiangazi.
Washambuliaji wapya ndiyo kipaumbele huko Stamford Bridge mastraika waliolengwa zaidi kusajiliwa ni pamoja na Romelu Lukaku na Erling Haaland.
Bodi ya The Blues imependezwa na kazi aliyoifanya Mjerumani huyo tangu atue mwezi Januari mwaka huu na sasa wapo tayari kumuongeza mkataba na kumpatia fungu ili akipambe kikosi chake kuelekea msimu 2021-22.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Jambo zurii
Ni vizuri
Thomas amefanya vizuri
Ni vyema
Ni jambo jema
Nice
Atafany vizuri
Chukua watu
Nice
Jambo zuri.