Kuelekea kwenye mchezo wa derby ya London kati ya Chelsea na Arsenal makocha wote Thomas Tuchel na Mikel Arteta wameweka wazi wachezaji ambao wanakwenda kuwatumia kwenye mchezo huo.

Kikosi ambacho anatarajia kuanza nacho Mikel Arteta ni; Ramsdale; Holding, Gabriel, White, Tavares, Elneny, Xhaka, Odegaard, Saka, Smith Rowe na Nketiah.

Huku kwenye benchi akiwa na; Leno, Cedric, Swanson, Lokonga, Azeez, Hutchinson, Martinelli, Pepe na Lacazette.

Kikosi ambacho Thomas Tuchel anatarajia kuanza nacho ni; Mendy; Christensen, Azpilicueta, Sarr; James, Kante, Loftus-Cheek, Alonso; Mount, Lukaku na Werner.

Huku kwenye benchi akiwa na; Arrizabalaga, Chalobah, Silva, Barkley, Jorginho, Saul, Pulisic, Ziyech na Havertz.

Uwanja: Stamford Bridge

Saa: 21:45


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa