Meneja wa Chelsea Thomas Tuchel amethibitisha kuingia sokoni katika majira haya ya kiangazi baada ya kumaliza katika nafasi ya nne na kutwaa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya UEFA.
Tuchel anatarajia kufikia malengo kadhaa, akiwaambia waandishi wa habari juu ya mipango yake ya kusajili: “Wawili au watatu wanaweza kuwa wazuri sana.
“Ni jambo la kawaida kuto kukataa mabadiliko.
“Unahitaji kuongeza nguvu mpya, wachezaji wapya wanaohoji imani za zamani, ambao wanatoa changamoto kwa kila mtu katika mazoezi na kwenye mechi, Kwahiyo nadhani ni jambo zuri” aliongeza.
Kulingana na taarifa katika vyombo mbalimbali nchini Uingereza zinasema Mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich atampaTuchel Pauni milioni 150 katika dirisha hili la majira ya kiangazi.
MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Atakuwa kafanya vyema sa a