Tunahitaji kushinda UEFA si Kumfunga Madrid Tu- Pep.


Pep Guardiola baada ya ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Real Madrid,”Tupo hapa kujaribu kushinda Ligi ya Mabingwa. Ni hatua moja, kama tunadhani inatosha tutaonyesha ni jinsi gani tulivyo wadogo.”

Manchester city walifanikiwa kuwaondosha Real madrid katika michuano ya ulaya jana kwa jumla ya magoli 4-2 katika michezo yote miwili. Wanatarajiwa kukutana na Lyon katika mchezo wa robo fainali siku ya Jumamosi.

 

Tunahitaji kushinda UEFA si Kumfunga Madrid Tu- Pep.

Guardiola, mshindi mara mbili wa Ligi ya mabingwa akiwa na Barcelona, akiwa bado anafukuzia ubingwa mwingine akiwa na City na kusisitiza ushindi ni jambo la Kipaumbele.

“Ni muhimu tumewashinda Real. Zinedine Zidane hajawahi kupoteza mara mbili katika mechi za mtoano. Unaona utulivu waliokuwa wanacheza nao, wako vizuri.”

“Katika mchezo tumetengeneza nafasi nyingi na kufunga magoli mawili kutokana na makosa waliofanya. Tumejaribu kuwashambulia zaidi wafanye makosa lakini sio rahisi kwa timu kama hii.” aliongeza Pep

 

Tunahitaji kushinda UEFA si Kumfunga Madrid Tu- Pep.

Robo fainali kati ya Manchester City na Lyon itachezwa siku ya Jumamosi tarehe 15 mwezi wa nane katika uwanja wa Estadio Jose Alvalade nchini Ureno kabla ya nusu fainali siku ya jumatano tarehe 19 mwezi huu.


Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia Mchezoni

41 Komentara

    Man city kuifunga madrid wamefanya vizuri na kumfunga ile mechi ya kwanza iliwafanya wajiamini sana

    Jibu

    Gurdiola anastahili pongezi na ukiangalia kwa timu zilizo baki anaweza akacheza fainali.

    Jibu

    Guardiola kaelekezea akili na nguvu zake UEFA

    Jibu

    Guardiola amefanya kazi nzuri pongezi kwake

    Jibu

    Safiiii Sana gardiola habari nzuri Sana kwa mashabiki

    Jibu

    Gud for this

    Jibu

    Kikubw kijitahad tu hapo wanawez fika malengo

    Jibu

    Wapambane watafanikiwa.

    Jibu

    Ata kumfunga Madrid ni mafanikio ili ushinde lazm um beat mkubwa

    Jibu

    Anastahili pongezi

    Jibu

    Itakuwa game ya kufa mtu maana ni one game sio kama zamani home and away

    Jibu

    Wasijiamin sana maana Madrid waliocheza nayo haikukamilika kabisa

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Ni maneno mazuri sanaa inabidi Sasa wakaze buti ili wafike final na kuweka history mpya pale City

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Ni vizuri kujiamini ivyo lkn kinachotakiwa Ni kutafuta mbinu mbadala ya kuwasaidia kutimiza malengo yao isiwe maneno tu

    Jibu

    Kwa kweli kabisa tangu alipo toka ronaldo real Madrid hama jipya nikufungwa tu na wakishinda wao ni bahati wanatakiwa wajipange

    Jibu

    Anastahili pongezi

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Gud news 👍

    Jibu

    Pongezi zimfikie huko aliko

    Jibu

    Anastahili pongezi#meridianbettz

    Jibu

    Zidane hajawai kupoteza mara mbili katika mechi za mtoano

    Jibu

    Anastahili pongezi

    Jibu

    Wazo zuri

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Cha msingi apambane tu anaweza akalibeba.

    Jibu

    Kila kitu ni kujiwekea malengo watafanikiwa

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Wanaweza kuchukua maana gurdiola ana hasira ya kukosa kikombe cha ligi

    Jibu

    kikubwa ni kujituma anaweza fikia malengo yake

    Jibu

    Kama vijana wa Pep watakaza basi watampa mafanikio mengine kocha wao maana City wana kikosi imara sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Man city wanajitahidi Pep anajua kupangilia timu yake

    Jibu

    Kujituma tuuu ndo cha zaidi

    Jibu

    Pongez ziende kwa pep ila sidhan kama zidane alikua na kikosi kama kile alicho kua amechukulia uefa misimu mitatu mfululizo na ronaldo yuko ndan ramos bale na wengine wote sidhan kama pep angeweza kumuondoa zidane kwenye michuano hii kusema kweli zidane msimu huu amekua na kikosi kibovu ila ametwaa kombe la liga kwa bahat sio kama alikua na kikosi cha kutisha mnoo ila kwa pep ata asipo cheza aguero bado ana kina Gabriel jesus kina raheem stering kina benardo silva mahrez wachezaj kibao na wako kwenye form kwa zidabe bale mwenyewe na wamekua hawana maelewano nae mazur pia

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Mawazo yao ni mazuri

    Jibu

    city wakiongeza juhudi zaidi uefa wanaweza wakachukua

    Jibu

    Huyu Pep huwaga namkubali kimtindo#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe