Tuzo za UNFP Zimefutwa

Zile tuzo za UNFP ambao huwa wanashirikiana pamoja na akina LFP na beIN Sports hazitofanyika mwaka huu.

Usiku wa tuzo hizo umekuwa ukipangwa kufanyika mnamo tarehe 17 Mei. Kauli ya UNFP imesema kuwa: β€œWaandaaji wa tuzo hizo wameamua kuwa tuzo za mwaka huu hazitofanyika. Hii ni kutokana na msimu uliokuwa wa shida na mgumu sana upande wa michezo duniani na jamii kwa ujumla.

Zile tuzo za UNFP ambao huwa wanashirikiana pamoja na akina LFP na beIN Sports hazitofanyika mwaka huu.

Tuzo hizo zinaahirishwa kwa sababu za kiafya, Ufaransa haipo mbali na madhara yaliyotokana na ugonjwa huu na hvyo kuathiri kabisa shughuli za ugawaji tuzo za mwaka kutoka kwetu.

β€œZawadi zilizokuwa zitolewe kwa wachezaji kwa mwaka huu wa 2020 zitatumika katika sekta ya afya ambayo ina wauguzi wengi waliojitoa kwa moyo mkuu sana katika kupambana na maambukizi ya ugonjwa huu duniani. Na kwa wale wote ambao wamekuwa wakitoa huduma kwa muda wa miezi hii miwili katika jamii zetu zote. Kwa hakika tunawashukuru sana na kuwaheshimu mno!”

Mchezaji wa Ufaransa, Kylian MbappΓ© alikuwa ndiye mshindi wa tuzo hiyo ya UNFP kwa mwaka 2019.

41 Komentara

    So sad

    Jibu

    Iko poa.

    Jibu

    Daa! Habari mbaya kwa wanamichezo
    Nashukuru kwa taarifa nzuri.

    Jibu

    Habari mbaya#meridianbettz

    Jibu

    Daaa corana hii sio poa ila maamuzi yao ni mazuri kuisaidia secta ya afya

    Jibu

    duuh

    Jibu

    Hali bado haipo sawa asa na janga hili la corona

    Jibu

    Dah! Corona imeharibu mambo mengi

    Jibu

    Corona jmn ni shida

    Jibu

    Mungu atusaidie tu

    Jibu

    Duuh hali bado haiko sawa

    Jibu

    Jambo jema kwa jamii

    Jibu

    Duuh! hali ya ugonjwa imekwamisha vitu vingi ,tuwe wavumilivu kwakweli.

    Jibu

    Maamuzi yakusaidia sekta ya afya nijambo jema

    Jibu

    Wauguzi na Madaktari wetu wanasitahili kuenziwa. Wamefanya vizuri #Meridianbettz

    Jibu

    naamini kila kitu kitakuwa sawa na tunzo zitatolewa kama zamani

    Jibu

    Hayo ndo maamuzi sahihi kabisa kwa kujali afya za mashabiki na wachezaji.

    Jibu

    Habari nzuri Asante meridianbet kwa habari za michezo

    Jibu

    Duh ni thanks meridian bet kwa update

    Jibu

    hali bado ni tete duh corona gonjwa hatari sana haijawai tokea dah

    Jibu

    Ahsant sana meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Hali bado ajakaa sawa corona ni hatari sana

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Asanten kwa habari.

    Jibu

    wamefanya vyema sana

    Jibu

    Wamefanya vyema sana

    Jibu

    Iko poa#meridianbettz

    Jibu

    Tnx kwa update meridian

    Jibu

    Iko powa sana

    Jibu

    Duuuh!! Ahsante kwa taarifa meridian

    Jibu

    Duu! Corona hatari

    Jibu

    Wamefanya uamuzi sahihii sana

    Jibu

    Ni jambo zuri hasa katika kipindi hiki cha janga la Corona

    Jibu

    Corona imearibu mambo mengi sana

    Jibu

    Habar ya kuhuzunisha

    Jibu

    Duh Sasa itakuwaje zikitolewa

    Jibu

    Walianzisha wao na wamefuta wao sawa hakuna yatizo

    Jibu

    Duuh corona ni hatari sana

    Jibu

    Duh ni habar mbaya kwa wanamichezo na burudani

    Jibu

    Corona nimeharibu mambo mengi

    Jibu

    Bado corona inatikisa dunia kwa upande mwingine tuzidi kuwaombea wauguzi wetu mana wanafanya kazi kubwa sana

    Jibu

Acha ujumbe