UCL: Neymar Nje PSG Dhidi ya RB Leipzig

Neymar hajapangwa katika kikosi cha Paris Saint-Germain kitakacho menyena na RB Leipzig kunako Ligi ya Mabingwa siku ya Jumanne.

UCL: Neymar Nje PSG Dhidi ya RB Leipzig

Neymar alipata jeraha alipokuwa kwenye majukumu na timu ya taifa ya Brazil, hivyo anaendelea kuimarika kabla ya kuerejea dimbani tatizo hilo lilimfanya kutocheza mchezo wa Ijumaa pale PSG ilipocheza dhidi ya Angers katika Ligue 1.

Mauricio Pochettino alisema: “Kipaumbele ni afya ya wachezaji kwanza, anatatizo kidogo ambapo tunatumai atapona siku chache zijazo.”

Leandro Palades na Sergio Ramos pia hawatocheza mechi ya Ligi ya Mabingwa sababu ya majeraha.

PSG wanaongoza katika kundi A kwenye Champions League baada ya kwenda sare na Clube Bruges na kuwafunga Manchester City ambao walifika fainali msimu uliyopita, Leipzig wanashika mkia kwenye kundi.


KUSANYA MKWANJA NA BIG BAD WOLF

Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

 

Acha ujumbe