UEFA wameibuka na kuweka wazi kuwa hakuna mchakato wa kufanya mabadiliko makubwa licha ya tetesi zinazoendelea kuwa wanatazamia kufanya mabadiliko hayo.
Kulikuwa na taarifa kuwa UEFA, wana mpango wa kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa michuano ya Euro 2020, ikiwa ni pamoja na mpango wa kuhamishia shindano lijalo kwenda Urusi.
Hata hivyo, awali mamlaka hii ya soka barani Ulaya, iliamua kusogeza mbele michuano hii kwa miezi 12, lakini hakukuwa na mabadiliko katika matumizi ya miji 12 kama ilivyotarajiwa.
Kwa mujibu wa baadhi ya vyanzo vya habari za michezo kadhaa, kuna ripoti iliyotaja kuwa UEFA walikuwa wanafikiria kuhamishia michuano ifanyike Urusi -ambao walikuwa wenyeji wa Kombe la Dunia 2018 kwa sababu ya kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya virusi vya corona.
Katika kukanusha madai haya, tamko la mamlaka hii limesema kuwa “UEFA inatazamia kufanya michuano ya EURO 2020 kwa mfumo na miji ile ambayo iliainishwa awali, na tunaendelea kufanya kazi kwa ukaribu na wenyeji wa michuano hii katika maandalizi.”
Hii ni halisi kwa ajili ya mashujaa wote! Ukiwa jasiri unavuna mkwanja kibao hapa na sloti hii ya Huangdi Casino. Waka nusu tukupe maradufu!
Sabrina
UEFA hawapingi kama wameamua wasifanye mabadiliko katika Euro 2020
aisha
Safi sana kwa kuonyesha msimamo wenu
Issa
Safi sana hii
Hopemwaikuka
Sawa kazi kwenu c tunasubr burudan tu
Povel
Ni hatua nzuri Kama hakutakuwah na mabadiliko kwny EUROPE msimu ujao
Dorophina
Itakuwa ni vyema kama hawatofanya mabadiliko yoyote ya EURO
Khadija
Safi sana
Ester jackson
Good
Adelta
Ni habari njema
Elika
Vizur
Caroline
Safi sanaaa
Angelina
Vizuri
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana kwamsimamo wenu
Salma ngende
Wako na msimamo
Tatu
Ni vizuri wasipofanya kabadiliko
Sauda
Bakini na msimamo huo huo.
Saupha mohamed
Safi sana
Mwajumah
Safi sana hii
Fatina mfigi
Safi kwa maamuzi mazur
zeiyana
UEFA mwaka huu sijui hitakuaje ukiangali timu nyingi zimeka na wajeuri ukijumlisha na kolona hitachukua wakati mgumu sana kuibuka na shindi tutashuudia clabu nyingi kushuka daraja
Shani
Vyema
warda
Uamuzi mzuri sana