Kevin De Bruyne, Ngolo Kante na Jorginho Frello ndiyo majina matatu yaliyotangazwa na UEFA kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya wa mwaka 2020/21.

 

UEFA, UEFA Kocha na Mchezaji Bora wa Mwaka., Meridianbet

 

1.Kevin De Bruyne 🇧🇪 (Bingwa wa EPL)
2.Ngolo Kante 🇫🇷 (Bingwa wa UCL & UEFA Super Cup )
3.Jorginho Frello 🇮🇹 (Bingwa wa UCL , UEFA Super Cup & Euro 2020)

Kwa upande wa Makocha, Pep Guardiola, Roberto Mancini na Thomas Tuchel ndio majina yalio tangazwa kuingia tatu bora.

 

UEFA, UEFA Kocha na Mchezaji Bora wa Mwaka., Meridianbet

1.Pep Guardiola 🇪🇸 (Bingwa wa EPL)
2.Roberto Mancini 🇮🇹 (Bingwa wa Euro 2020)
3.Thomas Tuchel 🇩🇪 (Bingwa wa UCL & UFA Super Cup)

Washindi wa kocha na mchezaji bora wa msimu wa 2020/21 watatangazwa Aug 26 2021 kwenye droo ya mashindano hayo.


MUDA NI MKWANJA, MKWANJA NI SAHARA RICHES.

Ni muda wa kuwa milionea na kasino za mtandaoni za meridianbet, mchezo wa Sahara Riches unakupa nafasi ya kushinda mkwanja mrefu. Matajiri wa jangwani wanataka wakupe mkwanja leo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa