Kuna kila dalili Manchester United haitocheza Mashindano ya Ligi ya Mabingwa (UEFA) msimu ujao. Hii itaharibu picha nzima ya klabu hii.

Hakika, Man United ni habari ya mjini, iwe kwa mabaya au mazuri. Msimu huu, mazuri ni machache kuliko mabaya yao. Sio wachezaji sio wamiliki, kila mmoja anamchango wake kwenye ubovu wa United.

Kwa hali ilivyo, United inashika nafasi ya 6 kwenye msimamo wa EPL nyuma ya Arsenal (pungufu michezo 2) na Spurs (pungufu mchezo 1). Hii ni nafasi ambayo haifuzu kucheza UEFA msimu ujao.

UEFA, UEFA Kuharibu Picha Man United., Meridianbet

Kutocheza mashindano ya Ligi ya Mabingwa kutachoma picha nzima ya mabadiliko ya United. Wachezaji wengi wanaohusishwa na klabu hii, wanataka kucheza mashindano hayo na hivyo, uongozi wa United unakazi kubwa ya kuwashawishi wachezaji kujiunga nao bila kuwa na mashindano makubwa ya Ulaya msimu ujao.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa