Shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya UEFA imevifungiwa vilabu vyote vya kutoka Urusi kushiriki michuano ya ulaya na mashindano mengine yote ya ulaya yanaondaliwa na shirikishi hilo

“Urusi hawataingizia klabu yoyote kushiriki kwenye mashindano yanayondaliwa na UEFA kwenye msimu wa 2022-23,” waraka ulisema.

UEFA

Vilabu vya Urusi na timu za taifa zilizuiwa kushiriki mashindano yote yanaondaliwa na shirikisho la soka barani ulaya UEFA mpaka watakpo toa taarifa, mwezi February baada ya kuivamia nchi ya Ukraine.

Leo timu ya taifa ya wanawake ya Urusi imeondolewa kwenye mashindano ya Ulaya ya wanawake ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini Uingereza, na nafasi yake imepewa timu ya taifa ya Ureno.

Ureno ambao walishindwa kufuzu kwenye micbuano ya Ulaya sasa wa wamepangwa kwenye Kundi C ambapo yupo pamoja na timu, Netherlands, Sweden na Switzerland


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa