Maisha yanakimbia kwa kasi kubwa na kila mtu atapata alichoandikiwa, kila mtu atapata stahiki yake. Soka ni mchezo maridhawa na mabingwa huwa wale wenye bahati japo uwezo huchangia asilimia kubwa. Mimi nitakupa majina makubwa matano tu.
1. RONALDO DE LIMA
Licha ya kandanda safi alilocheza kipindi chake na licha ya timu kubwa alizopita lakini El Fenomeno hajashinda kombe la mabingwa wa Ulaya.
2. DIEGO ARMANDO MARADONA
Nani hamjui Pele mweupe.? Mfalme wa Soka la Argentina, ameshinda Karibu kila kitu isipokua kombe la mabingwa wa Ulaya.
3. ROBERTO LEWANDOWSKI
labda anayo nafasi ya kushinda kwa kuwa bado anacheza lakini nae hajaonja ubingwa huu unawapa jeuri wachezaji wengi wa Ulaya.
4. MICHAEL BALLACK
Mwaka 2008 akiwa Chelsea walau ilikua kidogo atimize ndoto na kamwe hawezi kumsahau John Terry kwa kukosa kile tuta muhimu. Siku Ile Ballack alizimia.
6. ZLATAN IBRAHIMOVICH
Pengine majivuni yake yangeongezeka Kama angenyanyua ndoo hii muhimu barani Ulaya. Licha ya kuzurura cha kutosha katika timu mbalimbali lakini hajashinda kombe hili.
Frank Patrick
Kumbe hadi delima pamoja na kucheza barca inter madrid alipishana nalo tu
Hope mwaikuka
Axante kwa hii
Rehema
Taarifa hii ni mzr sn
Theckla
Makala nzuri
Tahiya
Zlatan pamoja na kucheza klabu kubwa barani ulaya Kwel hakuweza kunyanyua kombe hilo
Warda
MICHAEL BaLLACK nilikuwa nampendaga sana #Meridianbettz
Antony Luseno
Ballack pamoja na kuwa na baryen hakupata taji hilo
Ernest
Messi na Cr7 watabaki juu upande wa kuchukua club bingwa
Salma
Kweli awakiwa na bahati
felister
Kweli kila kitu kinaenda na bahati Ibrahimovick kuwa kote kwny game hajabahatika ata kombe moja
aisha
Duuh kweli haikua bahati hadi uyu jamaa diegoarmando maradona hajapata kombe hilo
Aziza mushi
Hawakuwa na bahati
Ester mmakasa
Ni makala nzuri na iliyofafanuliwa kiundani.
Elika
Hakika hawa wote walikuwa wachezaji mahili sana katika soka..
Asha
Duh kumbe mpka Diego Armando maradona hanyakua kwapa eufa tu Asante
Juliana
Pele mweupe ninamkubali kinyama
Neema juma
Hiki kikosi mliowataja wako vzr mno. Wanapenda kitu kilichopo ndani ya moyo ndomaana wanafanya vzr.
Tatu
Habari hii nilikuwa siijui kabisa meridian
dorophina
Tnx meridian kwa update za kimichezo
Ester jackson
Pole sana Michael kwa kuzimia hakika mpira umekaa kwenye damu nimependa taarifa za hisia zake akiwa uwanjani
Gabriel
Duuuh! Nice upadate # meridianbettz
David pere
Hawa wachezaji walizitendea haki jezi za timu Ndio maana bado mchango wao upo mpaka Sasa
winfrida
hilo ndio soka, hua linaendana na bahati pamoja na kujua mpira, huyu maradona, de lima, nani asiyemjua? wamepiga soka safi dunia inajua lakini hawajachukua klabu bingwa. #meridianbet
Hamidu
Michael ballack kiungo hodari akiwa uwanjani
Namkubali Sana#meridianbettz
Magdalena
Delima pamoja na kucheza katika team kubwa akuweza kucheza UEFA
Lombo
De lima
Swai
Duuu kumbe hadi Delima na kuwa fundi kote kule
Povel
Duh had Michael ballack kapishana nalo duh thnks meridian bet tz nilikuwah cjui hlo
Amani
DIEGO MARADONA
Nani hamjui Pele mweupe.? Mfalme wa Soka la Argentina, ameshinda Karibu kila kitu isipokua kombe la mabingwa wa Ulaya.#meridianbettz
Emmy cleopa
Ahsante meridian kwa update za kimichezo
Zeiyana
Tanasubir kwa amu kuwaona mashujaa wetu 2020
Kenani
Ebhn staki kuamini Kama ni kwel
Mwajuma
Walikuwa habana bahati na hilo kombe
Genia Sikaluzwe
Ni habari njema Sana
Caroline
Watapata tu.wakati wao ukifika
mwakalosi
zlatan mtoeni jamani man united tumempa ueropa kwaiyo utamu wake keshauonja
Theonestina
De Lima alitisha Sana
mathayo sonje
soka linamaajabu yake, hebu ona, hawa mastaa ambao waliwika, dunia ikawashangilia lakini hawajachukua klabu bingwa!!!!, ajabu sana ila ndio ukweli huo!!!
Lydia Emmanuel Magoti
Ballack pamoja nakuwa na baryen akupata taji ilo
Neema hassan
Asante kwa taarifa#meridianbettz
Mwanaidi
Asanteni Meridian kwa taarifa za kimichezo
Khadija
Tunasubili kwa hamu kuwaona mashujaa wetu
Rehema Dickson
bahati Ibrahimovick kuwa kote kwny game hajabahatika ata kombe moja
Asia Abdy
Safii makala nzur
Sadick
Wakati fulani maisha ni bahati #meridianbettz
Shafii
Dilima hakuna foward kama huyo jamaa ila kila mtu anakua na bahati yake
Furahav
Hii iko poa sana.
farida ahmadi
Duh hii habari ndio naisikia meridian yaan hao mastaa wote hawajawahi kutwaa ubingwa UEFA nouma hiyoo