Uingereza: Ligi Kuu Haitasimama Wikiendi Hii

Ligi kuu ya Uingereza haitasimamishwa kwa michezo ya mwisho wa wiki licha ya uwepo wa visa vingi vya mlipuko wa wimbi la nne la Uviko-19 japo umehasiri vilabu vingi vya Uingereza.

Mchezo wa Manchester United dhidi ya Brighton uliopaswa kucheza siku ya Jumamosi umahairishwa na umekuwa mchezo wa kwanza kuahirisha kabla michezo mingine minne kufuata.

uingereza

“Bodi ya ligi kuu ya Uingereza inaelewa kuwa mashabiki wamesikitishwa kutokana na kuhairishwa kwa michezo hivi karibuni na inawaomba radhi kwa usumbufu wote uliyotokea.” walaka wa bodi ya ligi

michezo yote iliyoghairishwa itapangiwa tena tarehe ya kucheza, na vilabu vyote vimeambiwa vianzishe utaratibu mpya wa kuwalinda wachezaji wote wa kikosi cha kwanza na benchi lake.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.