Ukikohoa Makusudi Kadi Nyekundu!

Janga la Corona limeendelea kutufanya tukishuhudia mabadiliko megi katika taratibu, sheria na uendeshaji wa michezo ulimwenguni, soka halijatupwa katika mabadiliko haya. Unaweza kupata kadi nyekundu kwa kukohoa makusudi!

Katika taratibu mpya za michuano ya FA, wachezaji ambao watahoa kwa makusudi wakilenga kumkoholea muamuzi au mchezaji wa timu pinzani watakuwa wanapewa kadi nyekundu au kadi ya njano.

Wakati masharti yakiendelea kuzingatiwa katika kupambana na Covid19, waamuzi wanatakiwa kutumia sheriia hii katika madaraja yote ya michezo na inatakiwa kuanza kutumika maea moja.

FA wanasema kuwa kadi hapa inapaswa kutolewa pale tu muamuzi anapoona viashiria vya kukohoa kwa makusudi kwa mchezaji dhidi ya uso wa mchezaji mwingine wa timu pinzani au muamuzi mwenyewe.

Adhabu hii inatajwa kuwa itakuwa katika kipengele cha “Kutukana, kutumia ishara na (au) lugha ya kuudhi”

Hata hivyo, waamuzi wanakumbushwa kuwa lengo siyo kutoa adhabu kwa kila kikohozi, isipokuwa wanahitaji kuzingatia utaratibu huu uliotolewa. Pia waamuzi wanatakiwa kuwashauri wachezaji kutotema mate uwanjani, licha ya kuwa hili halitachukuliwa kama utovu wa nidhamu.

 


 

Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia Mchezoni

 

41 Komentara

    Eeeh hii hatar sasa!!

    Jibu

    duh hii kali ya mwaka hizi adhabu nyengine jamani mmmh

    Jibu

    Duuuh atar

    Jibu

    Mpira wa miguu unatakiwa kuwa mchezo wa amani, upendo na furaha na endapo marefa watapewa mamlaka makubwa na adhabu nyingi ambazo haziwezi kuthibitishwa na upande mwingine wanaweza kutumia vibaya nafasi kwa maamuzi mabaya dhidi ya timu nyingi. Naona kila kukicha marefa wanapewa nguvu nyingi bila sababu#meridianbettz

    Jibu

    Duu hiyo Kali ya mwaka

    Jibu

    Dhaa hii ishakuwa tishio sasa corona imeleta Mambo mengi magumu

    Jibu

    Ama kweli corona sio ugonjwa wa masihara tunashukuru sisi watanzania tuko salama mpaka leo hatuna budi kusema amina

    Jibu

    Corona simama watu tushuke jamani maana janga Ni zito

    Jibu

    Huu ugonjwa hatariiii#meridianbett

    Jibu

    Duuuh hatari sana

    Jibu

    Mimi naona ni sawa tuu sheria hyo ikitumika kwa sabab wapo wachezaj watatumia mbinu hyo ili wasikabwe na wachezaj wa timu pinzan kwa kuhofia kupata maambukizi ya virus vya corona wapo watakao fanya makusudi ili kuepuka kupata hali ngumu wakiwepo uwanjan

    Jibu

    Du hii Kali sasa kama mchezaji anaumwa kweli kikohozi inabidi utoe taarifa mapemaaa

    Jibu

    Duh! Hii mp ya😂

    Jibu

    Mhmh! hii Ni hatari
    @meridianbettz

    Jibu

    Duuh corona imekua tishio sana #Meridianbettz

    Jibu

    Hili ni hatari sana mana kwenye Moira kunasherea zake lakini kila siku kunakuja jipya kwa sababu ya corona inataka kuleta uchochezo wa vurugu uwanjani mana kama mvhezaji akihisi hill la kukoholewa anaweza kuchukua uwamuzi usio faa au mwamuzi kinacho takiwa ni kuwa making kwa viongizi pamoja na wachezaji katika kutamka kitu au kutoa adhabu

    Jibu

    Ni safi katika kujikinga na corona

    Jibu

    Sheria ngumu Sana hii kwa wachezaji maana kikohozi kinakujaga bila ya taarifa.

    Jibu

    Jamani corona ishakuwa shida upande wa michezo sasa kama mtu kabanwa na kikohozi chake asikohoe#meridianbettz

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Daaah hii shida sasa aiseeeeee

    Jibu

    Dah shid hii

    Jibu

    Majanga

    Jibu

    daah ishakuwa shida

    Jibu

    Kwanza nan anakohoaga makusud hv sasa visa

    Jibu

    Duuuuh hatari Sana hiyo

    Jibu

    Duuuh hatarii

    Jibu

    Duu atalii

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

    Duh Corona sio pw

    Jibu

    Ni sawa kabisa tena hiyo sheria ingekuwa ata uku nje ya viwanja vya mpira sasa uku ingewekwa adhabu nyingine mana kadi ni kiwanjani

    Jibu

    🤔Atari cna.

    Jibu

    Duuh hii kali aiseeeeh

    Jibu

    Kikohozi tu kadi nyekundu

    Jibu

    Sheria itawapa wakati mgumu sana wachezaji maana kikohozi ni kitendo ambacho kinatokea tu.

    Jibu

    Hii Sasa noma Sanaa maana hata ukiwa na kikobozi Cha kawaida usikohowe duuh hatari

    Jibu

    Hii kali

    Jibu

    Corona tishioo la dunia

    Jibu

    Hatar sana

    Jibu

    Haaa na Kama mtu kapaliwa na mate

    Jibu

    Ha haaaaaaaaaaaaaahaaaaaaa hii kali#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe