Umeipata Hii ya Jezi za Juventus za 2020/21?

Taarifa zinazozagaa kwenye vyanzo kadhaa vya taarifa za michezo ni kuhusu kuvuja kwa jezi za Juventus za Msimu ujao.

Kwa mujibu wa taarifa, klabu ya Juventus inatarajia kurejea kwenye uzi wake wa pundamilia (sio kama uzi wa Man United 😂) kwa msimu ujao, lakini pia uzi wa ugenini ukiwa na rangi nyeusi na uzi wa tatu ukiwa na rangi njano na bluu.

Kwa mujibu wa La Maglia Bianconera, kumekuwa na baadhi ya malamiko juu ya jezi, na malalamiko hayo ni kama yamezingatiwa na jezi zijazo zitakuwa kama kawaida na maboresho wanayotaka mashabiki.

Jezi ya Juventus imekuwa ikipendwa na wengi, lakini inaonekana mashabiki walikuwa wanahitaji kupata jezi ya aina fulani, huku wakisisitiza muendelezo wa aina ya jezi msingi walizozitoea.

Mtindo wa jezi zinazotajwa kuwa zimevuja, na hazikuwa zimewekwa hadharani rasmi zimechapishwa na La Maglia Bianconera.Tazama hapa chini.

Umevutiwa na mtindo wa jezi hizi?

 


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

13 Komentara

    Haya zitoen tu maana tushaziona

    Jibu

    Jezi ziko vizuri

    Jibu

    Mbona kama inafanana na man u Hyo punda milia

    Jibu

    Ni nzuri zote

    Jibu

    Jezi pambe

    Jibu

    Hasara kwa juve kama jez zao zimevuja

    Jibu

    Duhhh atari

    Jibu

    Jezi kaliii

    Jibu

    Nzuri sana jezi

    Jibu

    Jezi upo vizuri

    Jibu

    Sasa kama zimevuja watachukua hatua gani

    Jibu

    Mbona ya Man u nzuri tu

    Jibu

    Uzi mkali sana

    Jibu

Acha ujumbe