Kocha mpya wa klabu ya Aston Villa raia wa Hispania Unai Emery ambaye ametambulishwa siku kadhaa zilizopita ndani ya klabu hiyo kukipiga dhidi ya United katika mechi yake ya kwanza.

Kocha huyo alietoka klabu ya Villareal na kuipa mafanikio makubwa kama kubeba taji la Europa league dhidi ya United, pamoja na kuigikisha klabu hiyo kwenye nusu fainali ya ligi ya mabingwa ulaya baada ya miaka mingi.

Kocha Unai Emery anatarajiwa kucheza na Manchester Unites mechi yake ya kwanza ndani ya ligi hiyo ambapo pia sio mgeni, Kwani ashawahi kuitumikia klabu ya Arsenal kati ya mwaka 2018 na 2019.

Unai Emery anakwenda kukutana na United ambayo haijapoteza michezo yake tisa ya mwisho katika michuano yote hivo inaonesha kwa kiasi gani kocha huyo ana kazi ngumu katika mchezo huo.unai emery Kocha huyo aliechukua nafasi ya gwiji wa zamani wa klabu ya Liverpool ambaye ametimuliwa klabuni hapo baada ya muenendo mbaya wa matokeo. Hivo kocha huyo wa zamani wa Villareal amekabidhiwa jukumu la kuirudisha kwenye mstari timu hiyo.

Licha ya kua na wachezaji wengi wenye ubora lakini klabu ya Aston Villa haikua ikifanya vizuri chini ya mwalimu Gerrard, Hivo kocha Emery anatarajiwa kuifanya timu hiyo kua bora kutokana na ubora wa wachezaji waliopo ndani ya timu hiyo.


aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa