Manchester United na Chelsea zimeendeleza matokeo mabovu katika dabi zao za msimu huu ni matokeo mabovu kuwahi kushuhudiwa katika michezo yao iliyopita.
Mpaka Sasa kwenye msimu wa 2020/21 EPL ni Manchester United na Chelsea ndio timu pekee ambazo hazijapata ushindi kwenye dabi zote walizo cheza.
Man utd 1- 6 Tottenham
Man utd 0-1 Arsenal
Man utd 0-0 Chelsea
Man utd 0-0 Man City
Chelsea 0- 2 Liverpool
Chelsea 0-0 Tottenham
Chelsea 1-3 Arsenal
Chelsea 0-0 Man utd.
Timu hizo pia zimefungwa na Arsenal ambayo imepata matokeo mabovu zaidi katika msimu huu ikiwa inashika nafasi ya 15 katika msimamo wa ligi ya EPL.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???




Dorophina
Chelsea na man u sijui wanakwama wapi sio kwa kipigo wanachochezea msimu huu
Tatu
Chelsea ya sasa ni mbovu
Lydia Emmanuel Magoti
Kweli kabisa wamezidi kudidimia wajipange upya tuuu
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
Sarah
Chelsea inabidi wajipange upya ili warudi kama zamani
Angelina
Goodupdate
Rahmal
Chelsea mnakwama wapi
Hopemwaikuka
Wakasafishe nyota tu
Issa
Wanasuasua
Ernest Kimeru
League msimu huu ngumu sana
warda
Ndo mchezo
Shakila mrope
Wajitaidi kufanya mazoezi tu