United Hawataongeza Mikataba ya Sanchez na Smalling

Klabu ya Manchester United hawatarajii kuongeza mkataba na Inter pamoja na Roma kwa dili za mkopo ya Alexis Sanchez na Chris Smalling.

Iko wazi kuwa klabu haihitaji kuongeza mikataba ya wachezaji wote wawili kuelekeza msimu ujao, au kuwaacha waendelee kuwepo nje kwa mkopo kwa zaidi ya mda uliopo kwenye mikataba ya sasa. Zaidi klabu inatarajia uwezekano wa kukamilisha mikataba ya kudumu.

Chris Smalling
Chris Smalling

Sanchez na Smalling, wote walikuwa na mikataba wa mkopo wa mwaka mmoja kule Inter Milan na Roma, mikataba hii ilikuwa iishe mwezi Juni, lakini mda wa kuwepo Italia ukaongezwa hadi mwanzoni mwa Agosti kwa ajili ya janga la Corona lilolazimisha Serie A kusimama kwa mda.

Katika mkataba wa sasa, wachezaji hawa kwa pamoja watarejea Man United baada siku ya mechi ya mwisho ya Serie A, ambayo imepangwa tarehe 2 Agosti. Hii inamaanisha hakuna kati yao atakayecheza ligi ya Europa huko Italia.


 

Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

 

Soma hapa zaidi

45 Komentara

    Daaaaa Ata Smalling wanamtema jamani ????#Meridianbettz

    Jibu

    Bora ya Sanchez arudi ila kwa smalling akiuzwa sio mbaya

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri

    Jibu

    Korona imearibu mambo mengi sana

    Jibu

    Ni bora wawarudishe tu wakawapa hiyo mikataba ya kudumu itakuwa vizuri zaid sanchez ndie mchezaji ambaye man u wasipange kumkosa kumsajili moja kwa moja

    Jibu

    Sanches na Smalling wamefanya vizuri kwenye vilabu vyao vya sasa ambapo wapo kwa mkopo kwa hyo inakua ni mzigo kwa Manchester United kuwaongezea mkataba wakitumiakia vilabu vingine na umri wao ushaenda kwa soka laa sasa.United wapo sahihi

    Jibu

    Duuuh corona imekwamisha mambo mengi sana

    Jibu

    Colona sio poa imetualibia sana

    Jibu

    itakua vyema wakirudi

    Jibu

    Asante kwa makala#meridianbettz

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Sad news Kwa mashabiki wa man u

    Jibu

    duh pole yaoo

    Jibu

    Sanchez lazma apate usajili binafsi namkubali

    Jibu

    Pole yao sana

    Jibu

    Duu Bora Sanchez wamuache wakimtema Smalling akiuzwa sio mbaya

    Jibu

    Duuuuh Corona siyo poa

    Jibu

    Hii ya sunchez ndio nzuri kwao inter millan maana wanamuhitaji sunchez hi ndio fursa ya kumchukua kabisa na kumsaini hapo klabuni

    Jibu

    Aisee Corona inatisha

    Jibu

    Asante meridian kwa makala nzuri

    Jibu

    Corona imehalibu mambo mengi sana

    Jibu

    Sanchez akubaliane na inter akipige hapo hapo kwani serie A imemkubali Sana.

    Jibu

    Iwauze tu

    Jibu

    Wasimtemee daah

    Jibu

    Sanctions abak

    Jibu

    Sanchez abak

    Jibu

    Duuh haya ndo mpira ulivyo.

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Hii mbaya lakin ukiona mpaka unatoka sehemu ujue apo ridhiki yako imeisha ni vyema ukapambane mbele!!

    Jibu

    Man u waoga sana then wanahitaji wakae kutengeneza kikosi sio kurudishwa kwa smiling na Sanchez

    Jibu

    Hawana nafasi kwa ole waende tu

    Jibu

    Katika mkataba wa sasa, wachezaji hawa kwa pamoja watarejea Man United baada siku ya mechi ya mwisho ya Serie A, ambayo imepangwa tarehe 2 Agosti. Hii inamaanisha hakuna kati yao atakayecheza ligi ya Europa huko Italia.

    Jibu

    Pole kwao

    Jibu

    Gud information

    Jibu

    Inter walionyesha nia ya kumbakisha Sachez sijui nini kimetokea na amefanya vizuri zaidi akiwa pale#meridianbettz

    Jibu

    bora warudi kuja kuongeza nguvu kulingana na viwango walivyo navyo kwa sasa

    Jibu

    Duuuh! hatari hii

    Jibu

    Duh noma

    Jibu

    Binafsi nafurahia jambo hili maana Smalling na Sanchez watapata muda zaidi kucheza kwenye timu zao walizopo sasa kuliko kurudi Man U.

    Jibu

    Binafsi naowaona bado wako vizuri Sana ni vema man u wakawasajili kwani bado Wana kiwango kizuri kwa sasa

    Jibu

    Warudi tu kiroho safii

    Jibu

    United nao washaanza kuvuruga shughuli

    Jibu

    asante kwa makala

    Jibu

    asanteh kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Wachezaji wenyewe washapoyeza viwango vyao hawawezi Tena kuichezea Man U

    Jibu

Acha ujumbe