Manchester United Wamepewa Ofa ya Edin Dzeko

Manchester United wanaripotiwa kupewa nafasi ya kumsajili mshambuliaji wa Roma Edin Dzeko katika hatua za mwisho za usajili wa Januari.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 amefunga mabao 114 katika mechi 242 kwa kilabu yake ya Italia, pamoja na magoli nane katika safari 20 za mashindano yote msimu wa 2020-21.

Dzeko anaweza kuwa alicheza mchezo wake wa mwisho kwa I Giallorossi, tangia alipogombana na mkufunzi mkuu wa kilabu Paulo Fonseca.

Dzeko

Kwa mujibu wa Gazzetta dello Sport, United wamepewa nafasi ya kumsajili mshambuliaji huyo kama mbadala wa Odion Ighalo, ambaye amefikia mwisho wa kipindi chake cha mkopo klabuni hapo.

Dzeko alifunga magoli 72 katika mechi 189 wakati alipokuwa na Manchester City, pamoja na mabao 50 katika safari 130 za Ligi Kuu kati ya mwaka 2011 na 2016.

United ilisaini Edinson Cavani kwa uhamisho wa bure msimu uliopita wa kiangazi, wakati Anthony Martial, Marcus Rashford na Mason Greenwood pia wakiwa ni chaguzi za nafasi ya beki wa kati kwa mabingwa hawa wa mara 20 Uingereza.


 

MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

14 Komentara

    Usajili unaelekea ukingoni

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Usajili upo poa

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa manchester united

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Man u wachangamkie fursa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    United wachangamke ofa iyo

    Jibu

    united wasiachie ofa

    Jibu

    Safii

    Jibu

    United mzee huyo

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Sio mbaya

    Jibu

Acha ujumbe