Manchester United inaripotiwa kufuatilia kwa ukarivbu hali ya Cristiano Ronaldo kabla ya kufanya maamuzi zaidi ya kumsajili mshambuliaji huyu wa Juventus msimu huu wa joto.

Nyota huyu alishinda mataji nane muhimu, na pia Ballon d’Or mnamo 2008, kwa misimu sita aliyokuwa huko Old Trafford mapema katika taaluma yake ya soka.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno tangu wakati huo ametwaa tuzo kama mchezaji bora duniani mara nne zaidi na Real Madrid, kabla ya kuhamia Juve mnamo mwaka 2018.

Ronaldo : Mendez Ongea na United.

Hata hivyo, baada ya misimu mitatu huko Turin, na mkataba wake ukiwa unafika tamati mwakani, Ronaldo amekuwa akihusishwa na kuondoka dimbani Allianz.

Kwa mujibu wa The Athletic, United inafuatilia hali ya Ronaldo na inaweza kushawishiwa kutoa ofa kwa mchezaji huyo wa miaka 36.

Inaripotiwa kuwa kwamba Ole Gunnar Solskjaer pia alikuwa akiwasiliana na mwanatimu mwenzake wa zamani, ambaye bado angehitaji ada kubwa ya uhamisho licha ya kuwa katika miezi 12 ya mwisho ya mkataba wake.


Bonasi ya 50% Kila Siku Katika Kasino za Evoplay hapa Meridianbet.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

SOMA ZAIDI

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa