Klabu ya Manchester United imeingia kwenye anga za kiungo fundi wa Atletico Madrid, Marcos Llorente katika uasjili wa dirisha la majira ya kiangazi.

Klabu ya Manchester United imepeleka mezani ofa ya kwa Atletico Madrid kwaajili ya kupata saini ya mchezaji huyo kulingana na jarida la michezo la AS.

Mashetani wekundu wanatarajiwa kufanya mabadiliko katika safu ya ulinzi na kuongeza nafasi ya kiungo mkabaji katika dirisha kubwa la usajili, huku Ole Gunnar akitaka kuongeza nafasi zaidi katika eneo la kiungo.

Marcos Llorente ameichezea Atletico Madrid katika mechi 36 msimu huu akifunga magoli 10 na kutoa assist 9 katika mashindano yote.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

united, United Yapeleka Ofa ya €80m kwa Llorente., Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa