Uongozi wa US Open unalenga kuwaruhusu wachezaji wa Tenisi wa nchi za Russia na Belarus kushiriki mashindano hayo baada ya Wimbledon kuwazuia wachezaji hao.

Wachezaji wa Russia na Belarus walifungiwa kushiriki katika michauano ya Wimbledon mwezi uliopita, hali iliyopelekea washiriki wa kiume na wakike kwenye ATP kukosa Gland Slam na kukatwa alama.

 

us open, US Open Kuruhusu Wachezaji wa Russia, Belarus Kushiriki., Meridianbet

Kulingana na taarifa mbailmbali katika vyanzo vilivyothibitishwa uongozi wa US Open umenuia kuwaruhusu wachezaji hao kushiriki katika mashindano ya mwaka huu.

Kwa taarifa hiyo, mcheza tenisi namba moja wa Russia, Daniil Medvedev atashiriki katik amichuano hiyo.

“USTA itaruhusu wachezaji kutoka Russia na Belarus kushiriki mashindano ya US Open 2022, lakini kwa kutumia bendera huru.” ilisomekaa taarifa kutok akwa Chama cha Soka nchini Marekani.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa