Usajili Wa Wachezaji Wapamba Moto!

Timu mbalimbali zinaendelea kuboresha vikosi vyake wakati huu ambao mipango ya usajili inaendelea kufanyika.

Nchini Uingereza, vyombo mbalimbali vimeripoti mchakato wa AC Milan kumsaka nyota wa Crystal Palace – Wilfred Zaha. Milan wanaamini Zaha ataisaidia timu hiyo kutwaa taji la Serie A.

Arsenal wapo mawindoni kuisaka saini ya Joan Jordan anayekipiga katika klabu ya Sevilla. Imeripotiwa kuwa Sevilla wapotayari kumuachia Jordan endapo watapokea kiasi cha pauni milioni 32.

Joan Jordan

Huenda Riqui Puig atapata timu nyingine ya kuitumikia. Hii ni baada ya Arsenal kuhusishwa na usajili wa kinda huyu ambaye anataabika kupata namba kwenye kikosi cha Barcelona.

AC Milan waamini wanauwezo wa kumbakiza golikipa wao Gianluigi Donnarumma pamoja na kiungo mshambuliaji Hakan Calhanoglu licha ya kwamba bado hali ni tete kwenye suala zima la mshahara wa Calhanoglu.

Calhanoglu (kushoto) na Donnarumma (kulia)

Mshambuliaji mtukutu, Diego Costa ameiambia Atletico Madrid anataka mkataba wake ukatishwe na ataondoka mwezi Januari. Arsenal wanatajwa kama timu inayohitaji kuboresha safu yake ya ushambuliaji.

Diego Costa

Tetesi zinasema, endapo Costa atajiunga na Real Madrid, Barcelona au Sevilla basi timu itakayomsajili kati ya hizo itapaswa kuwalipa Atletico kiasi cha pauni milioni 22.7


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

20 Komentara

    Mambo ni motroooo

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Si mchezo mambo ni 🔥🔥🔥🔥

    Jibu

    Saf

    Jibu

    Mambo mazuri sas

    Jibu

    Diego Costa mnyama kapotea vibaya sidahni kama bado anahadhi ya kucheza EPL

    Jibu

    Habar nzur hz

    Jibu

    Costa ajiunge na the gunners

    Jibu

    Usajili msimu huu mdogo umekuwa moto

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Usajili uko poa

    Jibu

    Usajili upo bomba

    Jibu

    Ucjali uko powah sanaa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Mambo hayo

    Jibu

    Kila timu inajiweka sawa

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safii sanaa

    Jibu

    Hapatoshi EPL

    Jibu

Acha ujumbe