Vikosi Tarajiwa Jumamosi Mechidei 29

Mwanakabumbu machachari sana Erling Haaland hategemewi kuwepo wakati Borussia Dortmund wanamvaa Paderborn kutokana na majeraha ya goti.

Meridianbet inaangalia vikosi vinavyotarajiwa kuwepo mwisho wa wiki hii baada ya mechi za jana kumalizika…

Mechi zote zinaanza saa 10.30 jioni isipokuwa pale inapotajwa tofauti na hivyo.

Jumamosi, Mei 30

Wolfsburg vs. Eintracht Frankfurt

Wolfsburg: Casteels (c) – Mbabu, Pongracic, Brooks, Roussillon – Steffen, Schlager, Arnold – Brekalo, Weghorst, Victor
Nje: Klaus (amezuiwa), Otavio (kifundo cha mguu), William (goti)
Anayehofiwa: Camacho (kifundo cha mguu), Guilavogui (goti), Mehmedi (Achilles tendon)
Kocha: Oliver Glasner 

Frankfurt: Trapp – Abraham (c), Hasebe, Hinteregger – Toure, Kohr, Rode, Kostic – Kamada – Silva, Dost
Nje: Ilsanker (amezuiwa), Paciencia (paja)
Anayehofiwa:
Kocha: Adi Hütter

Hertha Berlin vs. Augsburg

Hertha: Jarstein – Pekarik, Boyata, Torunarigha, Mittelstädt – Skjelbred, Grujic – Lukebakio, Darida, Cunha – Ibisevic (c)
Nje: Ascacibar (mguu), Kalou (hatokuwepo)
Anayehofiwa: Kraft (kuumia), Plattenhardt (kuumia), Rekik (goti), Stark (nyonga), Wolf (hayupo fiti)
Kocha: Bruno Labbadia

Augsburg: Luthe – Framberger, Jedvaj, Uduokhai, Max – Khedira, Baier (c) – Richter, Löwen, Vargas – Niederlechner
Nje:
Anayehofiwa: Finnbogason (goti), Giefer (mguu), Hahn (tendon), Iago (kuumia), Schieber (ugoko)
Kocha: Heiko Herrlich

Mainz vs. Hoffenheim

Mainz: Müller – Hack, Bruma, Niakhate – Baku, Barreiro, Kunde, Brosinski (c) – Onisiwo, Mateta, Quaison
Nje: Latza (amezuiwa), Zentner (goti)
Anayehofiwa: St. Juste (goti)
Kocha: Achim Beierlorzer 

Hoffenheim: Baumann – Kaderabek, Posch, Bicakcic, Zuber – Rudy (c), Grillitsch, Geiger – Skov, Bebou, Baumgartner
Nje: Belfodil (goti), Hübner (amezuiwa)
Anayehofiwa: Adamyan (kifundo cha mguu), Kramaric (kifundo cha mguu), Stafylidis (misuli)
Kocha:  Alfred Schreuder

Schalke vs. Werder Bremen

Schalke: Schubert – Kabak, Sane, Nastasic – Kenny, McKennie, Schöpf, Oczipka (c) – Caligiuri, Burgstaller, Matondo
Nje: Harit (ligament), Serdar (goti), Stambouli (hayupo fiti),
Anayehofiwa: Mascarell (nyonga), Raman (paja)
Kocha: David Wagner 

Bremen: Pavlenka – Groß, Vogt, Moisander (c) – Gebre Selassie, M. Eggestein, Klaassen, Friedl – Bittencourt, Selke, Rashica
Nje: Füllkrug (torn ACL), Möhwald (goti), Pizarro (paja), Toprak (ugoko), Veljkovic (amezuiwa)
Anayehofiwa: Augustinsson (hayupo fiti)
Kocha: Florian Kohfeldt

Bayern Munich vs. Fortuna Düsseldorf (mechi inaanza saa: 1.30 usiku)

Bayern: Neuer (c) – Pavard, Boateng, Alaba, Davies – Kimmich, Goretzka – Gnabry, Müller, Coman – Lewandowski
Nje: Coutinho (kifundo cha mguu), Tolisso (kifundo cha mguu)
Anayehofiwa: Mai (kifundo cha mguu), Süle (hayupo fiti), Thiago (nyonga)
Kocha: Hansi Flick

Fortuna: Kastenmeier – Ayhan, Hoffmann, Suttner – Zimmermann, Stöger, Bodzek, Morales, Thommy – Karaman, Hennings (c)
Nje: Steffen (goti)
Anayehofiwa:
Kocha: Uwe Rösler

37 Komentara

  tuna visubiri kwa hamu vikosi meridian mpo juu kwa taharifa nzuri

  Jibu

  Hamna mpinzan

  Jibu

  ahsanteni kwa makala nzuri

  Jibu

  Ni muda kwa kuvuta mkwanja wale wa kuandaa mikeka siyo ya kukosa

  Jibu

  Wiki hii siyakukosa,tukae mkao wakuburudika.

  Jibu

  Mainz vs Hoffenheim kwa game hii Hoffenheim lazima ashinde

  Jibu

  Hatimaye imewadia

  Jibu

  Bayern anapigwa leo

  Jibu

  duuh mfumo mzuli sana kwani meridian mnaju kuwanogesha wateja wenu#meridianbettz

  Jibu

  Hakuna kulala hadi nihakikishe nimeshuhudia uhondoo mechii tumezimic

  Jibu

  Haaland ni mchezaji bora sana, atapona haraka kuja kuokoa jahazi la Dortmund

  Jibu

  Mechi zote za leo ni kali..

  Jibu

  Ratiba ya mpira imekaa poa sana

  Jibu

  Bayern Munch wanakosa tena mchezaji mahiri coutinho kwa mayeruhi

  Jibu

  Daa!! kutokuwepo mchezaji wangu fundi wa magoli Erling Haaland kumefanya nisiwe na mzuka wa kuangalia hiyo mechi.

  Jibu

  Ratiba iko fresh na inayoeleweka.

  Jibu

  Ni habar njema kwa wapenda kubashir na wapenda soka dunia

  Jibu

  N habari njema kuona ligi zinarud kwa kasi

  Jibu

  Hapo Mainz & hoffenheim kwangu ndo game ya kuangalia ..!game ngumu#meridianbettz

  Jibu

  Bayern Munich hapo anaonekana Ana kikosi kizuri Sana na ataendelea kushinda tu

  Jibu

  Wolfsburg watachukua ushindi

  Jibu

  Tulikuwa tunasubiri kwa Hamu ligi zirudi.

  Jibu

  habar mzur inafuraisha kusikia hayo

  Jibu

  Ratiba ya leo imekaa vizuri kweli

  Jibu

  Haaland hategemewi kuwepo wakati Borussia Dortmund wanamvaa Paderborn kutokana na majeraha ya goti.

  Jibu

  Ni habar njema kwa wapenzi was kandanda dunia na wazee wa kubashir thnks meridian bet kwa update

  Jibu

  Ratiba nzur Sana hii nikikaa vzr ntapiga pesa

  Jibu

  Mechi zote kali

  Jibu

  Daah..!mipira una kazi kwa kweli asilimia mia uremavu tu

  Jibu

  Shechke 04 kinatisha sana kinavyooneka

  Jibu

  Haikupangwa acheze uyo alieumia goti

  Jibu

  huu utaratibu umliouweka ni safi sana

  Jibu

  Huu utaratibu mlio uweka ni safi

  Jibu

  kwa vikosi hivi sidhani kama mtu atacheza mbali na luninga, ama smati foni yake

  Jibu

  Mechi zote leo kali

  Jibu

  Habari njema kwa wapenzi wa kubetii

  Jibu

  Habari njema

  Jibu

Acha ujumbe